Huyu demu nilimpata kupitia hizi dating app kama ilivyo kawaida siku hizi. Unajua tena maisha ya sasa - watu wengi wanakutana mtandaoni, wanaongea kidogo, halafu wanaamua kuonana.
Yeye aliniambia...
Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi.
Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na...
Serikali ya Uingereza iliwafukuza baba, mama, na watoto wao watatu kurudi Nigeria baada ya kuuza mali zao zote na kukopa 40,000,000Tsh ili kuhamia Uingereza.
Tobore aliuza nyumba yake huko...
Kuna aina mbalimbali za laana zinazoaminiwa kuathiri maisha na mwili wa binadamu, pamoja na mbinu tofauti za kujikinga kulingana na imani za kidini na kijadi.
hizi laana zimegawanywa kulingana...
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa...
Bado naikumbuka Ile siku jembe langu, ili kuwa saa 11 asubui nili amka ili ni download nyimbo mbili tu za kusikiliza asubui hiyo.
sijui Kama ili kuwa ni kuandaliwa au kujulishwaa, ila sikumbuki...
Habari wanajf
kipindi namfukuzia manzi ilikuwa ni 2019 hiyo tukakubaliana kabisa tuonane so akaniomba nimtumie nauli nikamtumia ilivyofika muda tulipanga tuonane simu yake ikawa haipatikani...
UZI WA KIJOBLESS NA MBINU ZA KIDIGREE
(Utatu wenye utata)
GAP YEAR......!!!
Kati ya mwaka 2017_2018, inaweza kuwa mwanzoni au mwishoni mwa miaka hio kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri...
Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa...
Habari everyone.
We're too weary... you did it long enough, no more chance for that.
haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha...
Ni yupi anayebisha ?
Siambi kujipa sifa, tena ambazo sinazo
Hunifuata sharafa, mahali penye mzozo
Wanijua makhalifa, nawachangia mawazo
Kunao wengi magwiji, tena watajika haswa
Kuna mafundi...
MWANAMKE AKIKUAMBIA TUACHANE. MUACHE SIKU HIYOHIYO HATA KAMA ALIKUWA ANATANIA.
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli
1. Usimuulize Kwa nini? Usitake kujua sababu. Amesema mwenyewe. Hukumlazimisha...