SINGIDA: Mwanamke aliejifungua Mtoto japokua hajakutana kimwili na Mwanaume kwa miaka mitatu, asema yuko tayari kuhojiwa.
View attachment 513953
Mmh haiwezekani kabisa.
Chezeya popobawa weye! Wanafanya yao kisha wanasepa kimya kimya ukistuka kitumbo NDI!