Habari za usiku waungwana.
Nimekumbuka experience yangu humu JF 10 years ago, nilikutana na a nice guy, ngoja nishee nanyi.
Ilikuwa ndo nimegraduate chuo kikuu, nikaajiriwa kampuni X jijini...
Moyo unaniuma mno,mke wangu amesafiri kwa week 3,so nimeamua kujipa challenge ya nofap kwa week hi
Leo ni siku ya tatu,,baada ya kila masaa 4 nguo yangu ya ndaniinachafuka kwa sababu ya ute ambao...
Watu waliumbwa kupendwa.[emoji173][emoji173][emoji173]
Vitu viliundwa kutumika.[emoji375][emoji375][emoji375]
Sababu ya ulimwengu kuwa katika machafuko na mivurugano, ni kwa sababu vitu sasa...
Wanawake bana yaani mtu unamkumbuka nakumcheki kwa simu with those valued stuffs like ninekumisi, unafanya nini, nikuone yaani all kwamba umejari uwepo wake mwisho unamwambia tuonane au napita...
GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU.
1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo.
2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau...
wanawake fukara na masikini chanzo cha wanaume wengi kufilisika na kufa mapema na wakati mwingine chanzo cha watoto kuwaona baba zao wabaya, ewe mwanaume epuka kuongoza nao huu ni mzigo mzito siku...
Daaah haya mapenzi shkamoo sana tu tena napiga na magoti.
Wakuu mm ni muumini was under 20. Toka nimeanza kula hivi vitoto sielewi wala sisikii, yaani kama simba aliyekula nyama ya mtu. Niliambiwa...
Ukiviona kwa nje vinavutia nenda nae geto uone habari yake. Picha linaanza akivua viatu hiyo harufu inayotoka hapo utajuta kukutana nae.
Sasa avue chupi dadadeki chupi pale kati rangi...
Kuna mabishano yametokea hapa kuwa kati ya mwanaume na mwanamke nani ana stress nyingi zaidi mwenzie...
Wewe kama Jf Member kwa mazoea yako ni nani ana stress nyingi zaidi ya mwingine...
Wanawake wazuri malaya, wanawake wote wanatoa nje, wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja.
Msichokijua ni kuwa kila mtu ameumbwa kwa namna yake Kama huyo wako alikucheat usijumlishe na wengine...
wakuu leo nimekaa nikakumbuka miaka flani hivi nikiwa nasoma chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tz
Nilianzisha mahusiano na mwanadada mmoja ambaye alikuwa hasomi chuo yeye kwa wakati huo, siku...
Habari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na...
Milioni tano na laki tatu na elfu kumi na mbili kweli!
Kuna msanii mmoja wa kike maarufu sana hapa Tanzania amenishangaza sana. Msanii huyu kwenye bongo movie yupo kwenye mziki yupo ameniacha hoi...
Tayari January imefika, Unampa nini rafiki yako wa kike/kiume, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini? Ni pesa...
Heri ya mwaka 2024 popote pale uliko hapa duniani, ningependa kukupa ushauri na mazingatio haya yafuatayo ili upate kushughulika na maisha yako.
1. Punguza umuhimu kwenye maisha ya watu.
2...
Yaani anapika msosi mtamu sana kana kwamba anaupika akiwa uchi. Tatizo ukienda kwenye mgahawa wake kula chakula, unapakuliwa msosi vizuri tu, tatizo linaanzia kwa mwanae mwenye furushi la makamasi...
Baba kwani mtu akifa anaweza kumnunulia mtu zawadi?? Lilikua ni swali kutoka kwa mwanangu wa miaka 5, nilistuka kidogo kwani alikua anazungumzia mambo ya kufa.
Ndiyo kwanza tulikua tumetoka...
Mmetoka wote chuo , halafu unataka ukute kijana uliyekuwa naye chuo awe ana kila kitu kama nyumba,gari na kazi nzuri,mbona wewe huna?Kwani unataka kuolewa na baba yako? Angalieni Dream, Vision...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.