MwanaJF Mwaka 2024 zingatia haya

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,531
14,438
Heri ya mwaka 2024 popote pale uliko hapa duniani, ningependa kukupa ushauri na mazingatio haya yafuatayo ili upate kushughulika na maisha yako.

1. Punguza umuhimu kwenye maisha ya watu.
2. Ukihitajika utaitwa.
3. Kama inakuhusu utapewa taarifa.
4. Punguza ushauri watu. wana mipango yao tayari.
5. Inawezekana ni kweli lakini hayakuhusu.
 
Hiyo namba 4 ungekua unaielewa vizuri basi wewe ndio ungeanza kwa kutokuanzisha huu Uzi.
 
Back
Top Bottom