Ukimcheki mwanamke, nimekumisi nikuone anaangiza njoo na chips, hafu sijala yaani kujari uwepo wake haiwaingii akilini kwao

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,884
4,045
Wanawake bana yaani mtu unamkumbuka nakumcheki kwa simu with those valued stuffs like ninekumisi, unafanya nini, nikuone yaani all kwamba umejari uwepo wake mwisho unamwambia tuonane au napita kukuona anakutungua beba na chps na ukienda kuonananae mikono mitupu atakuhoji chips mpaka utajuta uhamzi wako.

Look like kwa mwanaune hakuna free company, yaani kwamba umekaa unahitaji kampong hata stori uwe na malipo ya kulipa hawa wanawake khee

Wanawake wanaboa sana
 
Mnaeaokota wapi wa hivi?
 
"njoo kwangu, niletee savanna 2 usisahau condoms l".....
 
Back
Top Bottom