Wanaume wenye msemo huu wengi wao wameumizwa sana, poleni

mamamzungu

JF-Expert Member
Nov 17, 2019
2,374
3,887
Wanawake wazuri malaya, wanawake wote wanatoa nje, wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja.

Msichokijua ni kuwa kila mtu ameumbwa kwa namna yake Kama huyo wako alikucheat usijumlishe na wengine.

Mnawakatisha wanaume wenzenu wasiwachukulie seriously wapenzi wao kwasababu yenu.

Nakupa siri moja mwanamke akikupenda hawezi hata kufikiria kukucheat na hawezi. Hakuna kitu kigumu kama kumvulia mwanaume nguo usiempendaa, hapa siongelei wale ambao wanavua chupi ili wapate hela.

Jamani Kama mwanamke akitulizwa akatulizika akampenda jamaa na jamaa akampenda pia hiyo ku cheat utasikia kwa wengine.

Tatizo linaanzia kwenu nyie mkishampata mwanamke na ukajua anakupenda unaanza vituko mpk mwanamke anakata tamaa anatafuta plan B.

Ukitaka mwanamke asikicheat kwanza akupende na wewe umpende halafu asiwahi kukuhisi wala kukufuma una mcheat nakuakikishia hutokaa usikie ama uone amekucheat.

Dada enu hapa tangu niwe na shemeji yenu mwaka wa 3 huu simjui mwanaume zaidii yake na sifikirii kumsaliti.

Heri ya Christmas na mwaka mpya.

Mama mzungu hapa from nanjilinji.
 
Wanawake wazuri malaya… wanawake wote wanatoa nnje, wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja

Msichokijua ni kuwa kila mtu ameumbwa kwa namna yake Kama huyo wako alikucheat usijumlishe na wengine

Mnawakatisha wanaume wenzenu wasiwachukulie seriously wapenzi wao kwasababu yenu

Nakupa siri moja mwanamke akikupenda hawezi hata kufikiria kukucheat na hawezi…. Hakuna kitu kigumu kama kumvulia mwanaume nguo usiempendaa… hapa siongelei wale ambao wanavua chupi ili wapate hela

Jamani Kama mwanamke akitulizwa akatulizika akampenda jamaa na jamaa akampenda pia hiyo ku cheat utasikia kwa wengine

Tatizo linaanzia kwenu nyie mkishampata mwanamke na ukajua anakupenda unaanza vituko mpk mwanamke anakata tamaa anatafuta plan B

Ukitaka mwanamke asikicheat kwanza akupende na wewe umpende halafu asiwahi kukuhisi wala kukufuma una mcheat nakuakikishia hutokaa usikie ama uone amekucheat

Dada enu hapa tangu niwe na shemeji yenu mwaka wa 3 huu simjui mwanaume zaidii yake na sifikirii kumsaliti

Heri ya Christmas na mwaka mpya

Mama mzungu hapa from nanjilinji
Alikukuta na bikra? Tuanzie hapo!
 
Huu uzi hatimaye umeonekana.....my thoughts
 
Acha blah blah kutaka kuhalalisha umalaya wenu, kwa sasa wanawake wamekua malaya na wanayaangalia mahusiano kama njia ya kuwapunguzia ukali wa maisha na kuweza kumiliki vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wao.
 
Yaani umeolewa mwaka juzi tu halafu unatamba kwamba umetulia

Vipi na mzee baba naye katulia au umetulia wewe peke yako?

Kutulia ni namna mtu ameweka dhamila haimaanishi kwamba miaka 3 ni michache kwambA ijayo nitacheat… hata mahusiano ya nyumaa sikuwa mtu wa kucheat so ni tabia ya Mtu

Shemejii yenu sijui Kama anacheat niliacha kufuatilia mambo ya kuniumiza moyo

Nina amini kwamba hanicheat hata Kama kweli ananicheat
 
Wanawake wazuri malaya, wanawake wote wanatoa nje, wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja.

Msichokijua ni kuwa kila mtu ameumbwa kwa namna yake Kama huyo wako alikucheat usijumlishe na wengine.

Mnawakatisha wanaume wenzenu wasiwachukulie seriously wapenzi wao kwasababu yenu.

Nakupa siri moja mwanamke akikupenda hawezi hata kufikiria kukucheat na hawezi. Hakuna kitu kigumu kama kumvulia mwanaume nguo usiempendaa, hapa siongelei wale ambao wanavua chupi ili wapate hela.

Jamani Kama mwanamke akitulizwa akatulizika akampenda jamaa na jamaa akampenda pia hiyo ku cheat utasikia kwa wengine.

Tatizo linaanzia kwenu nyie mkishampata mwanamke na ukajua anakupenda unaanza vituko mpk mwanamke anakata tamaa anatafuta plan B.

Ukitaka mwanamke asikicheat kwanza akupende na wewe umpende halafu asiwahi kukuhisi wala kukufuma una mcheat nakuakikishia hutokaa usikie ama uone amekucheat.

Dada enu hapa tangu niwe na shemeji yenu mwaka wa 3 huu simjui mwanaume zaidii yake na sifikirii kumsaliti.

Heri ya Christmas na mwaka mpya.

Mama mzungu hapa from nanjilinji.
Umeandika vizuri sana na hongera sana

Ila miaka mitatu bado hata honey moon haijaisha hivyo bado sana kufahamu haya mambo, narudia BADO SANA

SUBIRI MIAKA 10 IPITE
 
Back
Top Bottom