Wakuu, hii ni story ya kweli ya tukio likilonikuta few years ago.
Wakati nafanya kazi Dar es Salaam kwenye kampuni fulani ya usafirishaji, waliletwa wafanyakazi wapya watatu wa kike.
Kila ofisa...
Ndiyo, wanawake wawe mama wa nyumbani tu,mwanamke mtu mzima uhangaike na siasa,uhangaike na biashara,wakati una mume wako,mwache mwanaume ahangaike kwa ajili yako.
Wanawake lazima mkubali mfumo...
Kwenye maisha ya mwanaume kuna wakati unafika hauna girlfriend, hauna mchepuko, una marafiki wachache sana au hauna marafiki kabisa. Maisha yako ni wewe tu mapambano yako ya kujitafuta. Hicho...
Shikamoon wakubwa
Jamani,nimejaribu kuwaza kitu kwanini wanaume wengi hasa humu mtandaoni wa gubu sana na wanawaza ngono tu?
Kwa mfano ni juzi tu hapa nimepost mada ili kusaidiana Mawazo...
🔥
Kuna kauli imeibua mjadala mzito:
Mtu hakupatiwa mapenzi kwa wiki mbili hadi aliponunua iPhone! 😳
Swali ni hili👇
Je, mapenzi ndani ya ndoa yanapaswa kuwa na masharti?
👉 Je, ni sawa kusema...
Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo.
Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi.
Ndoa kubwa...
Habari Ndugu zangu, Mimi Kuna jambo napenda kuwashirikisha labda huenda naweza pata suluhisho..kama kuna mashehe humu au wachungaji mnisaidie..
~Mimi binafsi Kuna Binti tumependana, tumependana...
WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA).
Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika...
Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako
Habarini Wakuu,
Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza...
stori,
Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama...
Wakuu habarini? huu uzi usomwe na watu wote hata wewe mgeni ambae unapanga kutembelea kusini pita hapa labda utajifunza kitu,
Jamani mimi nimeweka makazi huku kusini, sasa km siku 10 nyuma...
Wa kwanza kabisa wanangu kisha wazazi
kisha ndugu zangu watumbo moja la mama
Na huyu special case "Ba mtu" ki ukweli nampa ila atailipa either in kind or in cash
Ukiacha na hizi case zingine...
Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine
Baada ya kumuacha anakutumia...
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima tukiwa tunaendelea kusikiliza ripoti ya jaji chande
Nimeona leo tujadili story za hapa na pale kuhusu mapenzi na matukio yake ambayo kiukweli ukiyawazia...
Weekend iyoo
Unakutana na mdada, unampenda na moyoni unakua na nia nae nzuri, unamtongoza, anakuambia umpe muda, bila hiyana unakubali..ila sasa kwenye io talking stage ambayo iko ndani ya miezi...
Shikamooni wakubwa kaka, dada zangu na wengine.
Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kufua , kufanya usafi...
Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this...
Aisee sijui kanda ya ziwa wanawake wao wana shida gani yaani ni rahisi kumpata msichana bikra kanda ya pwani ila ngumu sana ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano ndivyo ilivyo ni ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.