Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kwa sasa kiukweli sitaki kabisa papuchi.... unanipenda nakupenda tunaenda sehemu nakupa MIC cheza nayo..... sitaki kabisa kujihusisha na papuchi magonjwa mengi sana na huko chini hakuna raha kama...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Kilele kinashinda yote Katika ma penzi. Je, umewahi kukutana na experience hii when a woman is on top. Kukubana Sana mbavu zakoo kwa magoti yake. Kukuchomeka vidole vyake masikioni Hadi...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda kuliko mume wako! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako? Hii kitaalam imekaaje?
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Baada ya tarehe kumi na nne kupita, sasa ni majukumu tu; hapa lazima tukimbiane. Waswahili wanasema, ndege mjanja ukamatwa kwenye tundu bovu. Au mna maoni gani, wakuu?
1 Reactions
5 Replies
390 Views
Angalizo: (Hii inawahusu wote waliopo katika ndoa, wale msio katika ndoa mkae msifanye kabisa ngono maana ni dhambi kuzini) Kufanya ngono kila mara ni dawa kali sana na ya bei nafuu kwa magonjwa...
8 Reactions
127 Replies
6K Views
Maisha yamebadilika sana...tulizoea kuwapa zawadi za pipi, chupi, saa, wapenzi wetu lakini sasa hivi wanataka i phone 15, gari kali, kulipiwa kodi etc Vijana wana stress za maisha, lakini wakati...
4 Reactions
14 Replies
862 Views
Wakuu,, Habari Swali hapo juu lahusika,,!! Mwaka 2020 nilikua sina kazi, Nilikua naishi na mwanamke kisela,,, Tuliishi wote kama miaka miwili hili hivi. Ilipoisha kazi nikawa tu niko nyumbani...
15 Reactions
87 Replies
6K Views
Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya. Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Natumia mu wazimaa wakuu. Ukistaajabu ya Mussa geuka nyuma uyaone ya firauni. Ipo hivi, kuna jamaa ana mke na watoto wa5. Sasa mwaka jana kipindi January unaanza mke wake alimshawishi sana...
26 Reactions
125 Replies
5K Views
Kila mara unaambiwa nipo discussion subiri kidogo, sasa najiuliza huko chuo watu hawana muda wa kusoma wenyewe? Au discussion ni lazima chuoni?
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Hongereni wote mliofanikisha kupata wenza wenye mapendo ya kweli once again happy valentine na kila la heri kwenye mahusiano yenu. Ushawahi kusikia mtu anakwambia kuwa single raha huyo mtu ni...
19 Reactions
70 Replies
3K Views
Mwana saikolojia ABRAHAM MASLOW anasema kwamba, kupenda au kupendwa ni hitaji la msingi akimaanisha kuwa na mke, watoto na familia kiujumla ni hitaji la msingi la kila binadamu. Ikitokea mtu...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Mtanisamehe sana wale wenzetu mlio katika mfungo mtakatifu. Muda huu ndo napata kugundua kuwa hakuna maisha pasi na mwanamke. Nimekaza sana ndugu zanguni, huu ni mwezi wa sita sijaiona mbususu...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo. Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Kutoka kwa mdau!! " Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri ,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao Kwa nyakat tofauti tofauti...na...
12 Reactions
109 Replies
4K Views
Ukifanya tendo la ndoa na mke wako, ajabu ni kwamba hata ukitoka hapo unakuwa na Amani tena sana. Unaweza kuamua kufanya maombi kwa Amani kabisa Tendo hilohilo la ndoa fanya na mtu mwingine...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda. Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili...
11 Reactions
212 Replies
9K Views
Ukristo wageuka dini huria, kila mtu afanya atakalo, uongozi wa kiroho umegeuka biashara. Content za minyanduo zavamiwa na waimbaji wa Injili. Dunia uwanja wa Fujo. Yes apewa character ya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Wataalam wa minyanduo, wale wanaopenda kunyandua spring chicken, tule tutoto tubichiiii, wale wanaochapa wake wa watu, na wale wote wanaoona usalama wao ni mdogo wakati wa majamboz, Airbnb ndio...
18 Reactions
122 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…