Happy Valentine day, kumbe kupata Soulmate sio jambo dogo

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,490
Hongereni wote mliofanikisha kupata wenza wenye mapendo ya kweli once again happy valentine na kila la heri kwenye mahusiano yenu.

Ushawahi kusikia mtu anakwambia kuwa single raha huyo mtu ni mnafiki promax hakuna kitu kama hicho kwa binadamu aliyekamilika. Kila mtu anahitaji kuwa na mtu anayempenda yaani unampa upendo anakupa upendo na kimsingi upendo ni zaidi ya kuzagamuana it's about caring katika situation zote.

Kwa upande wangu BabaMorgan nipo kwenye struggle za kumtafuta the only one but along the way nimegundua love ni complicated sana unaweza pata Mwanamke ukampenda lakini yeye hakupendi au ukapata mwanamke anayekupenda lakini binafsi unamkuta humpendi hiyo ndio trend ya mahusiano yangu mpaka sasa.

Naomba nihitimishe kupata mtu mnayependana sio kitu chepesi sometime ni kama bahati tu.

But all I want for valentine day is Big booty hoes..
 
m

But all I want for valentine day is Big booty hoe..
mkikutana wote mmechoka kutaftana inapendeza zaidi,

na kwakweli mtadumu zaidi kwenye kwa upendo zaidi,

and for sure kwasbabu ya uchovu wenu wa kutaftana itakua nadra sana kuvuka boda la mapenzi yenu 🐒

Happy Valentine's day 💕

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Mapenzi ukiyawazia sana yanakuendesha na huwezi kupata ambaye atakupenda the same way... Wewe kua busy fanya mambo yako ya msingi atakuja kwa wakati wako sahihi uliopangiwa..
Mpenzi hatafutwi, acha nature ifanye kazi yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom