Idadi ya wanawake niliopita nao mpaka sasa

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
Kutoka kwa mdau!!

" Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri

,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao
Kwa nyakat tofauti tofauti...na kujihusisha nao kimapenzi!!!


Idadi ninayo ikumbuka...vizuri ni wanawakeee kama mia moja na sita ama na saba hivi "

Ila kwa sasa nmeamua kutulia na ninatalaji kufunga ndoa December mwaka huu!!! Na mdada ambaye tayar anamwangangu tumboni

Nina afya njema sana ..na nina mshukuru sana MUNGU sina gonjwa lolote lile!!!

Nnajua hayawahusu ila . Ndo..hvyo ..ni maisha...na...kila mtu anastory yake "
 
Hiyo idadi yako, na nimekuvuka umri, ila hata mara za kuzagamua sijafikia. Ni pungufu sana ya hizo. Hongera sana ndugu. Uume tu unao.
 
_20240204_143829.JPG
 
Hiyo hesabu inauhalisia kama ni mtu wa kununua malaya/wadangaji. Maana kama kwa wiki ukila malaya wawili. Maana yake mwaka unawiki 52, unazidisha kwa mbili inakuwa 104.

Kama unakula malaya mmoja kwa wiki, maana yake kwa mwaka unakutana na K 52. Maana yake kwa miaka 3 tu unakula K 156. Hesabu naona ipo sawa tu. Ukiona mtu anaiponda ujue ni Padri 🤣
 
Mimi nna 40 hadi leo ni 45 hadi 50 .maana huwa siachani chini ya 6 months
 
Back
Top Bottom