Hili limewahi kukutokea?

Wakuu Hili limekaaje??

Unakuta mtu..... mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda

Kuliko mume wako!!!!!

Ama

Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako???

Hii kitaalam imekaaje??????
Huyo mdada au mkaka mnakuwa mmefahamiana kabla au baada ya ndoa?

Na kama ni kabla alikuwa anakuchukuliaje? Na kama ni baada nini kimemvutia?

Nb: kuna watu ni wavurugaji wa mahusiano ya watu. Ni agents wa sheta. Ukishaingia king, anakuacha kama hakujui!
 
255757077938_status_124e3beea01c4384b87853ebdbf1a20b.jpg
Amina.
 
Hii kitaalam imekaaje?
Hii kitaalamu tunaiita Mbuzi kala Mbuzi na hao wakipendana mapenzi yao yananoga balaa anakula vitamu kuliko anavyokula kwa mkewe au kwa mumewe maana anapokea penzihuru bila ya usumbufu wa mawazo ya hapa na pale
 
Wakuu Hili limekaaje??

Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda

Kuliko mume wako!

Ama

Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako?

Hii kitaalam imekaaje?
Shetani hafuati mahali ambapo haoni baraka,sasa ameona ndoa anataka kuvuruga, sasa wewe single akufatie nn
 
Fakyuol(https://jamii.app/JFUserGuide you all)

Na moderators were there watching it!


Mpaka mtu aandike matusi kwenye comments ndio mumpige barn !




Hamkeni Sasa !
 
Back
Top Bottom