Dada mmoja,nilimsaidia shida yake kubwa sana,ambayo hata hapa natetemeka kuiweka,ndipo aliponitizama usoni na kuniambia,naomba nikupe zawadi Nilimtizama usoni,nikamjibu asante.
Nikasimama...
Kweli ndoa ndoano, mtoto wangu wa mwisho wa kiume anamiaka 5 sasa kati ya watoto 3 nilio nao. Ila tatizo huyu mtoto mashallah kajaliwa hasa, akimka asubuhi kitu kikisimama mpaka mama yake huwa...
kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹
wengi mnaotoa maoni mpo nje ya mada
swali ni je "ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada...
Hivi siku hizi imekaaje kwenye mahusiano?
Mnakutana, mnazoeana haraka, mnachat sana, ndani ya muda mfupi tayari mpo relationship. Baada ya hapo mkifanya mapenzi mara ya kwanza tu, ghafla kila mtu...
Guys
Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye...
Habari zenu, ndugu zanguni, sina shida ya kumdharirisha mtu, tunapeana elimu au uzoefu katika maisha yetu ya Kila siku ili kujihami mapema kabla ya maafa inshaallah.
Mwaka Fulani nikiwa mkoa wa...
Naomba tumia busara kunijibu
Mimi Nina shahada yangu safi TU.
Nina a lot of busines idea.
Ila changamoto kubwa ni mtaji
Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu
Baada ya...
Habari ya leo wakuu...? Sijawahi fikiri na kuwaza kama ntakuja kuangukia kwenye penzi lililopelekea kupewa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi kwakupitia mdomo wa mwanamke.
Nilikua...
Disemba moja baada ya kuchapika sana hapa mjini nilienda kijijini kwetu Songea. Nikiwa huku nikakutana na pisi moja inaitwa MOTESWA. Nilidata sana basi nikaanza kumfukuzia mchumba na hatimaye...
1. Sitachoka kuwafundisha ninyi vijana. Maana wengi wenu hamkuishi na Wazee nazungumzia wazee waliozaliwa kabla ya mwaka 1940. Hao ndio Wababu.
2. Mtibeli nilibahatika kuishi na Wazee...
Huko maofisini wadada wengi ni masingle mama. Nazungumzia hawa madada wanaojiita “corporate dadaz”
Wengi wao wamezalishwa na kuachwa na wanaume wakilea watoti wao wenyewe.
Hali inazidi kuwa...
Salaam JamiiForums.
Hope mko poa.
Mimi Daniel au Myahudi (Jewish)kama wengi wanavyoniita mtaani ,Niko fresh,Niko poa bado na survive naendelea kusifu ukuu wa MUNGU kuna vitu sitaweza vimaliza...
Habari ni gani wakuu zangu?
mimi ni baba pia, nina watoto wawili wa kiume umri ni miaka 4 kwa 5. huwa sikai nao wanakaa kwa mama yao... so siku zalikizo ndo huwa wanakuja kwangu kunitembelea...
Sina maneno mengi zaidi ya kutaka ushauri wenu juu ya rafiki yangu huyu anaetarajia kufunga ndoa na single mother, yeye ndo ana oa kwa mara ya kwanza. Ushauri wenu tafadhari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.