Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah.. Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
24 Reactions
242 Replies
8K Views
Pesa, tamaa ya ngono Ndio vimekuwa hamasa kuu ya mahusiano kwa sasa. Wake za watu waajiuza. Wamme za watu wamegeuka baba wa watot0 wa watu mtaani ili tu atafune jagina kirahisi😆
1 Reactions
7 Replies
142 Views
Umepiga show vizuri tu lakini baada ya tendo unajikuta umeambiwa "umenichafua" hii hali huwa inatuudhi mno na wakati mwingine huwa tunatamani turudie show kwa kukomoa ila ndo hivyo huwa mnaenda...
1 Reactions
10 Replies
176 Views
Habari zenu wana MMU naimani mko poa mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Kwenye maisha kuna mambo mengi yanatokea unaeza ukawa umezaliwa kwene mazingira mazuri, umekuzwa kidini pasi na...
8 Reactions
102 Replies
2K Views
Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo? Jamani kumekucha,ni siku nzuri ya jumatatu nafurahia mazingira nikiwa kazini,kuwa na kazi kuna unafuu na Raha fulani,yaani unaamka unajua naenda...
24 Reactions
97 Replies
1K Views
Kuna mwana JF humu aliwahi kusema humu kuwa mwanaume ni mashine ya ngono inayotembea. Mwanaume anasex sio kwa ajili kujenga intimacy bali kuondoa ukakasi na kutimiza fantasies ndio maana utakuta...
1 Reactions
5 Replies
141 Views
Mimi ni me, nimeoa, sasa mke wangu amekuwa na tabia ya kuwa ananipiga makofi kila ninapomtania, yaani naweza kuongea jambo la utani yeye anavyolichukulia ni serious na anaweza kukutandika kofi...
4 Reactions
21 Replies
266 Views
1: BOOBS 2: FACE 3: INTELLIGENCE 4: CURVY 5: BIG BUTT 6:SLIM THICKE 7: SLIM 8: EYES 9: YOUNG 10: PLUS SIZE 11: LEGS/THIGHS 12:MSHANGAZI 13: MISS INDEPENDENT 14: STYLISH...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari, Naomba ushauri wenu moyo unauma sana. Nipo kwenye mahusiano ya mbali (LDR) kwa miezi minane sasa. Nampenda sana huyu mwanaume, kiasi kwamba muda mwingi nautumia kusali, kufunga na...
7 Reactions
61 Replies
1K Views
1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako...
119 Reactions
199 Replies
11K Views
Dada mmoja,nilimsaidia shida yake kubwa sana,ambayo hata hapa natetemeka kuiweka,ndipo aliponitizama usoni na kuniambia,naomba nikupe zawadi Nilimtizama usoni,nikamjibu asante. Nikasimama...
6 Reactions
42 Replies
705 Views
Kweli ndoa ndoano, mtoto wangu wa mwisho wa kiume anamiaka 5 sasa kati ya watoto 3 nilio nao. Ila tatizo huyu mtoto mashallah kajaliwa hasa, akimka asubuhi kitu kikisimama mpaka mama yake huwa...
5 Reactions
97 Replies
9K Views
kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹 wengi mnaotoa maoni mpo nje ya mada swali ni je "ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada...
13 Reactions
103 Replies
1K Views
Hivi siku hizi imekaaje kwenye mahusiano? Mnakutana, mnazoeana haraka, mnachat sana, ndani ya muda mfupi tayari mpo relationship. Baada ya hapo mkifanya mapenzi mara ya kwanza tu, ghafla kila mtu...
6 Reactions
35 Replies
693 Views
Guys Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye...
6 Reactions
65 Replies
701 Views
Habari zenu, ndugu zanguni, sina shida ya kumdharirisha mtu, tunapeana elimu au uzoefu katika maisha yetu ya Kila siku ili kujihami mapema kabla ya maafa inshaallah. Mwaka Fulani nikiwa mkoa wa...
5 Reactions
9 Replies
774 Views
Naomba tumia busara kunijibu Mimi Nina shahada yangu safi TU. Nina a lot of busines idea. Ila changamoto kubwa ni mtaji Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu Baada ya...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
sifa za mwanamke 1. Miaka 18 2.maji ya kunde 3. Awe amemaliza kidato cha nne 4. Awe anatokea mkoa wa Tabora 5. awe mpagani
5 Reactions
14 Replies
337 Views
Back
Top Bottom