kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Kweli ndoa ndoano, mtoto wangu wa mwisho wa kiume anamiaka 5 sasa kati ya watoto 3 nilio nao. Ila tatizo huyu mtoto mashallah kajaliwa hasa, akimka asubuhi kitu kikisimama mpaka mama yake huwa anamsema vibaya, wewe mtoto mbona matatizo, umri huu tu hivi je ukiwa mkubwa utaishi na mke kweli
Mimi Baba mtu kibamia, mtoto kafanana na mama yake kiasi Fulani, kwangu ayupo kabisa, kipindi cha nyuma kabla ya mtoto huyu kuzaliwa, mama yake alishawahi nitukana kwamba mimi mwanaume suruhali, nina kipiriton. Kingine mimi na mama yake weupe ila uyu mtoto mweusi
Je naweza kwenda pima DNA na nikitambua mtoto sio wangu itakuwaje? Ili hali nimeudimia mimba na mpaka umri aliofikisha.
Kikubwa naitaji kumlea ila nataka mama yake atambue mtoto sio wangu kama itabainika. Je nitatumia njia hipi kumshawishi mpaka akubali kupima DNA. Na jee nikigundua mtoto sio wangu alafu mimi ninakibamia, je nitafurahia kweli tendo la ndoa. Au ndio dhana ya kitanda akizai haramu.