Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Aisee wanawake watu wa ajabu sana yani hapa ninavyosema nipo mtu alevishwa pete juzi na mshkaji na kupostiana juu oya wanawake kweli hawafai aisee Hebu fikiria ndo wewe unataka kuoa alafu...
11 Reactions
38 Replies
791 Views
Sio mgeni wa jiji nipo hapa 10+ years shoot in and out . Kuanzia masomo mpaka kazi mpaka unemployed. I declare my interest Kama kuna mtu ana kibarua naomba. Turudi kwenye mada baada ya miaka kama...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke...
20 Reactions
28 Replies
1K Views
NAwasalimia kwani nawajua. Sasa leo mchungaji mmoja katika kipindi cha Edeni cha Upendo Tv alisema ni raisi kupata mume ila ningumu kupata mke. Je kwa hili suala ukweli ni upi??
8 Reactions
46 Replies
788 Views
Katika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, ingawa pia Kuna bahati ndani yake ,ukibahatisha wife matilio utaifurahia ndoa kinyume chake ni majuto. Sasa Kuna sifa za wazi kabisa hata sisi wazee tunaziona...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa.. Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia...
24 Reactions
187 Replies
4K Views
ugonile, huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria...
11 Reactions
83 Replies
3K Views
Leo ni siku ya kuadhimisha malaika wa duniani. Mama si jina tu; ni neno lililojaa dhabihu, uvumilivu, na upendo usio na masharti. Tangu sekunde ya kwanza nilipoanza kupumua, ulikuwa hapo...
6 Reactions
12 Replies
245 Views
Hivi vitoto sijui vililishwa nini maana ni vina stamina sio ya kitoto, unaweza kukipelekea moto kwa speed ya 5g ila ndo kwanza kinasema uongeze speed. Unachapa hadi bao 5 ila kinataka kuendelea...
22 Reactions
87 Replies
3K Views
Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Ndio anajifunza kuongea ila nadhani kampani ya watoto wenzake anaocheza nao ndo walimuambukiza mnajua tena maisha ya uswahilini. Tunajitahidi...
4 Reactions
176 Replies
17K Views
Mwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake...
27 Reactions
253 Replies
4K Views
Ukimzalisha kabla ya ndoa kuna uwezekano wa kuongeza tatizo la single mothers Ukimuoa kama ana matatizo ya uzazi kuna uwezekano ukazeeka bila watoto
1 Reactions
1 Replies
100 Views
Unaoa ukidhani utapata furaha kumbe ni taabu tupu. Kuna haja gani ya kupoteza hela kulipa mahari. Wanasayansi wengi hawaoi na n matajir wa...
11 Reactions
77 Replies
1K Views
Video imezua gumzo mitandaoni baada ya kijana wa kiume kuamua kusomba kila kitu alichokinunua kwa ajili ya mpenzi wake kuanzia godoro mpaka mapazia baada ya mwenzi wake huyo wa kike kusitisha...
19 Reactions
137 Replies
2K Views
Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari. Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine. Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
3 Reactions
28 Replies
585 Views
Sababu ni hizi ☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo. ☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao...
11 Reactions
90 Replies
3K Views
Ni cowgirl? Ni reverse cowgirl? Ni doggy? Ni spooning? Ni flatiron? Ni missionary?
2 Reactions
13 Replies
299 Views
LUST ni zimwi hatari sanaa aiseee Kosa nione mdada mwenye makebo makubwa, lazima nihakikishe natafuna jagina yake. nimekula malaya na wadada wa kutosha, Nimepoteza pesa, Love triangles za...
9 Reactions
50 Replies
958 Views
Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani...
42 Reactions
446 Replies
17K Views
Back
Top Bottom