Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mke, umri miaka 30 Hadi 40 Mkisto, mjasiriamali wa kati. Awe anaishi Dar. Mimi ni mfanyabiashara naishi Dar. Umri wangu ni miaka 45. Nahitaji mwenye Elimu ya sekondari hadi chuo kikuu...
5 Reactions
17 Replies
978 Views
Wasalamu. Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma. Ukienda kutambulishwa ukweni cha kwanza wanauliza anafanya kazi gani. Hawa wa kileo mnajuana...
18 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha. “Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
85 Years Ago to date, Sunday, 10 October 1938 Soviet Union, Moscow Siku hii anazaliwa mtoto mwenye akili nyingi sana Jijini Moscow Urusi, Hawa ndio wale watoto ambao huzaliwa mara moja Baada ya...
20 Reactions
166 Replies
8K Views
Mambo vipi mdau wangu wa nguvu, nakushukuru kwa kutenga muda wako na kuwa msomaji mzuri wa makala zangu twende sawa usisahau kufollo ukurasa huu. Leo tuangazie dalili ambazo huwa zinajitokeza...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii post ya East Africa Radio imenishangaza sana, UZINZI UNAENEZWA KWA KILA NJIA SIKU HIZI.
4 Reactions
12 Replies
744 Views
Mengi hutokea kwenye ndoa, wala sina haja ya kuyataja hapa. Ukitoa uvumilivu, huruma ni muhimu sana kwa wana ndoa wote, mwanamke na mwanaume, kila mmoja awe na huruma na mwenzie. Kwa njia hiyo...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii, Nini maoni yako?
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimekaa na mke wa mtu nikampa dili kuna sehemu wanahitajika watu kazi ya kutwa data collection 25,000 kwa siku, project ya miezi 2, alichonijibu akasema yupo tayari tena akiipata hiyo kazi huyo...
24 Reactions
40 Replies
3K Views
Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla. Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Kina dada naombeni jibu. Lady , To yeye, Madame B, Miss Angel ,FaizaFoxy, Money Penny
10 Reactions
122 Replies
10K Views
Mdau kasema ukosefu wa Wanaume "Baba" kwenye malezi ya watoto wa kiume ndio kunapelekea vijana kuwa na mahusiano na wanawake wenye umri mkubwa. Huyu ndio Mwanamke mwenye ujauzito wa Dogo Nb...
3 Reactions
13 Replies
550 Views
Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Sifa za mwenzi...
11 Reactions
67 Replies
5K Views
Mkeo akizaa mtoto wa nje ya ndoa na akakiri kuwa ni kweli, huyo mtoto ni wa nje, usimfukuze. Msamehe mke ila chunguza ni kwanini amezaa nje ya ndoa, ukishaijua sababu, basi ikabili hiyo sababu.
7 Reactions
151 Replies
5K Views
Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia, mwanamke ninaependa Maendeleo, Mama wa mtoto mmoja Miaka 34 Mfanyabiashara Mkristo Nina...
20 Reactions
49 Replies
5K Views
Nimefurahi sana kuona mwanachama mwenza wa UWABATA akipangua Ombi kutoka kwa Mrembo. UWABATA IDUMU! Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Hello I am mom of 3 kids aged 33, Human Resource officer in a government entity Looking for a divorced, widowed, or single man with age of 45-60 to build our family and enjoy our lifetime...
17 Reactions
65 Replies
6K Views
Chukua hiyo mtu wangu, Usikione kidada cheusi tii kinapita ukakidharau. Hicho ndo kimebeba asali mbichi huko chini. Ile yenyewe kabisa ya nyuki wa kienyeji.
31 Reactions
108 Replies
7K Views
Usimpende kupita kiasi, Usikasirike kupita kiasi, Usishauriwe kupita kiasi, Usiongee kupita kiasi, Usijitolee kupita kiasi, Usiwaze na kuvumilia kupita kiasi, Usile na kulala kupita kiasi...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…