fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,415
- 7,968
Mkeo akizaa mtoto wa nje ya ndoa na akakiri kuwa ni kweli, huyo mtoto ni wa nje, usimfukuze.
Msamehe mke ila chunguza ni kwanini amezaa nje ya ndoa, ukishaijua sababu, basi ikabili hiyo sababu.
Msamehe mke ila chunguza ni kwanini amezaa nje ya ndoa, ukishaijua sababu, basi ikabili hiyo sababu.