Natafuta rafiki wa kiume/ mchumba/ mume

telly21

New Member
Jul 29, 2015
4
20
Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia, mwanamke ninaependa Maendeleo, Mama wa mtoto mmoja

Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo

Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi.

Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na baadae kua wapenzi had Ndoa Na mtu Sahihi kwangu na mimi niwe Sahihi kwake.

Umri kuanzia 35-48 Akiwa na mtoto Au watoto haina shida kabisa nitalea/kuwalea kwa upendo mkubwa sana
Asiwe Mlevi

Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote.

Ni PM kama tu Upo serious please
 
Wewe mrembo ningekuweka ndani hata kesho nikulishe madini unye utajiri, Ila kigezo kimoja tu hapo kimenichapa K.O... "mwenye Kazi ya kumwingizia kipato"

Mie kazi yangu inaniwezesha kula tu, kuingiza kipato bado. Unga unga mwana apeche alolo. 😎

Swali la msingi: unahitaji 'kuolewa'? ama 'kuoana'?

-Kaveli-
 
Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia ,mwanamke ninaependa Maendeleo ,Mama wa mtoto mmoja
Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo
Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi
Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na baadae kua wapenzi had Ndoa Na mtu Sahihi kwangu na mimi niwe Sahihi kwake
Umri kuanzia 35-48 Akiwa na mtoto Au watoto haina shida kabisa nitalea/kuwalea kwa upendo mkubwa sana
Asiwe Mlevi
Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote
Ni PM kama tu Upo serious please
Ulevi unaupima kwa kiwango gani?Maana mimi napiga CMS tisa tu.
 
Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia ,mwanamke ninaependa Maendeleo ,Mama wa mtoto mmoja
Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo
Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi
Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na baadae kua wapenzi had Ndoa Na mtu Sahihi kwangu na mimi niwe Sahihi kwake
Umri kuanzia 35-48 Akiwa na mtoto Au watoto haina shida kabisa nitalea/kuwalea kwa upendo mkubwa sana
Asiwe Mlevi
Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote
Ni PM kama tu Upo serious please
Umri sema kuanzia 35 na kuendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom