Fanya kwa kiasi, ni muhimu kwa afya yako ya akili

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Usimpende kupita kiasi, - Nikipenda hua napenda kupitiliza... Nampenda kupita kiasi...
Usikasirike kupita kiasi, -Hua sikasirikagi...
Usishauriwe kupita kiasi, - Hua sisikilizagi ushauri wa mtu au watu... mambo yangu nayajua mwenyewe...
Usiongee kupita kiasi, - Siku zote hua nachagua kukaa kimya au kua mkimya...
Usijitolee kupita kiasi, - Hua najitolea kupita kiasi...
Usiwaze na kuvumilia kupita kiasi, - Hua siwazi kabisa, ila navumulia kupita kiasi...
Usile na kulala kupita kiasi, - Hata sijui kama hua nalalaga...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom