Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 5,707
- 11,957
Aisee muda unakwenda kwa kasi ila mambo au maisha yanakwenda taratibu nadhani sijui kwa wengine. Imagine madogo waliozaliwa mwaka 2000 huu mwaka watasheherekea birthday ya kutimiza miaka 24.
Huu ndio umri wa mtoto wa kike kuwa au kuanza familia na mwanaume wa ndoto zake.
Huwa nacheka sana nikiwaza kuwa kuna binti kazaliwa kuanzia 1997,1996,1995 kurudi nyuma akiyaongelea mahusiano kwa sura ya future tense kuwa ninatafuta mwanaume wa ndoto zangu au nataka mwanaume wangu awe moja mbili tatu.
Aisee kweli cheza na pesa zikitoweka utatafuta zingine ila sio muda aisee muda ukishakwenda haurejei tena kamwe hata ufanyaje. Na mbaya zaidi ni vile vitu ambavyo muda ukishakwenda hautaweza kujifanya tena ndio itakuuma zaidi na kukuacha na depression.
Najua wanaume hii kitu haitawaumiza sana. Kuna bro wangu m'moja alivurugwa na mahusiano hadi akawa kama ameshakata fuse kichwani akaenda kukaa mkoani miaka kama 6 hivi, alikuja akarudi na kuanza upya alichangiwa mtaji akaanza kufuga kuku kwenye mabanda ya shangazi.
Akakimbiza kimbiza baadae akaona miyeyusho akaenda kusoma sijui kozi gani fupi nikaona tu anaenda sana bandari. Akapata kazi huko ya operation manager kwenye kampuni hapo bandari na kuanza maisha upya. Amechukua binti mdogo tu ila ukimuona unaona wanaringana, wameanza life na mwaka huu wanataraji kupokea mtoto wao wa 4.
Huwa nawaza sana upande wa dada zetu wazee wa standards. Gape la umri kwenda huwa linawapa mrejesho mbaya sana.
Kwasas kuna idadi ya wadada wengi toleo la kuanzia 1980 hadi late 1990's ambao kwasababu zao binafsi na visingizio kadha wa kadha wamefeli kufanya kitu kinachoitwa ndoa na kuanza maisha ya ubachelorette forever.
Time is woman's worst enemy sababu it rarely gives them a second chance in life. Time is Men best friend, it gives them a million chances to create similar moments in life.
Use your time wisely ladies born from 2000's.
And kwa wale wadada born before 2000 MUNGU awe nanyi, let the games begin. Kama ulitumia Prime years zako kucheza na wanaume na kupuyanga its time to pay your dues, ila kama ulikuwa na bahati mbaya zako MUNGU akuangazie uweze kupata mwanya wa kuendelea na maisha yako.