Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hallo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto? Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye...
7 Reactions
145 Replies
31K Views
Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo. Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Good morning! Huyu mwanamke nampenda sana na wala mpaka sasa sijaamini kwanini yupo na mimi aisee, jinsi mimi nikijiangalia wala hata siamini kabisa japo mimi naishi Marekani na ako pesa za...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Mapenzi tumeyakuta, lakini ubaya ni kuwa hakuna mtu aliye wahi kufundishwa somo la mapenzi wengi watakubaliana nalo hilo kuwa hakuna somo la mapenzi, lakini hali ni tofauti somo la mapenzi lipo...
7 Reactions
234 Replies
40K Views
Aisee jiongeze usitongoze msichana weekend hii lazima akupige panga la kisogo lazima kirungu kihusike umtunze hela ya kijora au dera apate mtoko wa sikukuu. Kukataliwa hutakataliwa hata kidogo...
3 Reactions
8 Replies
748 Views
Baada ya kuandika uzi nikiiomba serikali yetu itunge sheria kali kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k. Nimeona sio vibaya tukalijumuisha hili suala kwenye uwanja wa mapenzi/Mahusiano...
0 Reactions
5 Replies
579 Views
Italian Relationship: 1st day= Sex 2nd day= Sex again. French Relationship: 1st day = movies & kiss 2nd day = Sex 3rd day = Sex again British Relationship: 1 day= hangout & kiss 2nd...
6 Reactions
8 Replies
831 Views
Wakuu samahanini kwa mada zangu za kuhusu mapenzi aisee ila kusema za ukweli mapenzi yananiumiza sana hivi wanaume wenzangu mnafanyeje ili kukabiliana na hali hii? Sasa leo wakuu nimepigwa na...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Kawaida yao wakitolewa out huwa ni kuagiza diko la bei mbaya kwenye kitabu cha menu kama vile hatakula tena maishani ila kumbe hali inakuwaga hivi endapo watatumia hela zao binafsi. Ma slay...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni...
1 Reactions
1 Replies
436 Views
Kuna wanaodai eti kabila fulani ndo wanapenda sana ngono. Utaskia sijui wapare ni viwembe au sijui wanyiramba sijui wambulu au wahaya ni balaa kwa ngono. Mimi Braza Kede kwa akili yangu timamu...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Aisee, kumbe ndoani ni pagumu. Kama mambo yenyewe ndio haya, basi nitaoa mwaka kesho kutwa. Kweli mke wa ndoa unaingia ndani saa 9 usiku ukiwa na rafiki yako mumelewa chakari, plus bodaboda wenu...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mpenzi wangu kaolewa jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
LINAPOKUJA SUALA LA MAHUSIANO WAKOMAVU TUKO HIVI 😊 1.Ukishindwa kutupenda tulivyo usidhani tutakubali kuishi kama utakavyo ili ndio utupende 2.Tuna muda na anayetupenda ila hatuna muda wa...
9 Reactions
8 Replies
895 Views
Moja kwa moja kwenye mada Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama. Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu...
15 Reactions
42 Replies
3K Views
Ndugu zangu Ukituliza akili na kuyatafakari kwa kina mahusiano ya sasa utagundua wanawake walio wengi wameyageuza ni biashara ya kuuziwa bidhaa ambayo hubakiwi nayo huku sisi wanaume tukifanywa...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Usiombe udukue simu ya mwenza wako, unawez ukajitaguliza ahera kwa utakayokutana nayo ukajuta kama wewe ndio wale wanaojifanya mahaba kama yote! Mimi ukinipa simu yako nikiamua dakika Tano...
15 Reactions
581 Replies
155K Views
Msipumbazwe na watu wa kataa ndoa, wengi ni waongo sana,pia msiogope changamoto za maisha ya ndoa,hizo zipo tu. Kwenu ambao hamjaoa au kuolewa, fanyeni juhudi muoane na mimi nipo kuwasaidia...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Umri wangu miaka 45, Muislamu naishi Dodoma. Natafuta mchumba sifa awe mweupe, mzuri, asiwe bonge nyanya au mwenye maziwa mengi. Awe angalau na kidato cha nne, awe tayari Kuishi Dodoma nilipo...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea...
4 Reactions
10 Replies
973 Views
Back
Top Bottom