Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi. Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if...
49 Reactions
257 Replies
15K Views
Mapambano ya kupinga ushoga yamekuwa yakielekezwa zaidi kwa jinsia ya kiume. Lakini sasaivi kumekuwa na wimbi kubwa la mabinti kuingiliwa "kusikoruhusiwa" kwa kupenda wenyewe au kwa kulazimishwa...
2 Reactions
13 Replies
633 Views
Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke. Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo. Kumekuwa na tabia ya wakaka na...
21 Reactions
221 Replies
9K Views
Nami wala nisiwe mnafki sitaki nijifiche kwamba ni mwema kwamba niwakemee wengine Watu wengi tumepata bahati ya kuweza kuja hapa duniani tukiwa na bahati kubwa sana ya kupata malezi ya kulishwa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati mapenzi yalipokuwa moto moto, ilikuwa ni kutembea kama kumbi kumbi, mwanaume hapa mwanamke hapa. Lakini sasa hivi, wengi tunapeana maelekezo; tangulia tutakutana kwa mangi n.k Tatizo ni...
17 Reactions
148 Replies
4K Views
Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo. Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na...
56 Reactions
231 Replies
9K Views
Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6. Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha...
102 Reactions
1K Replies
307K Views
Mimi ni mgeni humu, sijajua kama inaruhusiwa kutongoza ila kiukweli mimi huyu Mzigua90 ananichanganya sana. Najikuta natumia muda mwingi kumuwaza. Hakyanani tena.
25 Reactions
351 Replies
9K Views
Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu, Napitia Sanaa threads nyingi humu MMU, karibia asilimia zote wadau wanajisifia kupita na Pisi Kali TU Sijui, ana shepu, sura ya kuvutia, kalio kubwa nk. Sasa najiuliza hizi Pisi mbovu/...
19 Reactions
113 Replies
7K Views
Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana...
52 Reactions
205 Replies
9K Views
Nimeona Niwape Mwendelezo Wa Kile kilichoendelea na maamuzi niliyofikia mpaka sasa Tangu last time nimepost kueleza kile kinachoendelea kwenye mahusiano yangu and so far na maamuzi niliyochukua...
38 Reactions
128 Replies
17K Views
Nimekuwa Kwenye Mahusiano na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata...
44 Reactions
481 Replies
52K Views
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA Na, Robert Heriel Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo...
6 Reactions
39 Replies
9K Views
Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
10 Reactions
85 Replies
4K Views
Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18. Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa. Cha...
16 Reactions
232 Replies
33K Views
Peace be upon you all, Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha" Aina hii ya wanaume ni wanaume...
25 Reactions
104 Replies
5K Views
Je, tuko tayari kumuomba Mungu atufundisha jinsi ya kuwa na upendo kama ule wake kwa sababu tukipenda kama vile Mungu anavyopenda tutawapenda wengine hata kama hatupati faida yoyote. Sasa basi...
7 Reactions
73 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa...
21 Reactions
147 Replies
9K Views
Ningependa kuwashauri wanaume wenzangu kuwa mnapotoa hela zenu ili mpate kitu fulani hakikisheni hicho kitu ni kipya na hakijatumiwa na mtu. Ngoja nikuelezee kidogo, 1) Kitu kilichotumika mara...
23 Reactions
104 Replies
5K Views
Back
Top Bottom