Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu ndugu zangu, Leo nimejisikia kuwapa tafsiri halisi ya neno mapenzi, wadogo zangu mliokuwa humu na watoto zangu pia kwa ujumla, kokote ulipo ukiulizwa nini maana ya neno MAPENZI, Jibu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wadau naomba mnisaidie ni zawadi gani naweza mpatia mume wangu.... nisaidieni.
0 Reactions
77 Replies
48K Views
Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamume na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba. Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Salute Comrades! Wanaume wenzangu njooni hapa niwape code kuhusu hawa wanawake ambao tumeusiwa tuishi nao kwa akili. Kawaida yetu sisi wanaume tuna hulka ya kutongoza tongoza wanawake especially...
17 Reactions
141 Replies
8K Views
Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi 1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini 2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu) #upambanaji...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Huwa inaweza kutokea mmoja wenu kutangulia mbele ya haki, japo hatuombei maana maisha si yetu ni majaliwa ya yeye aliyetuleta hapa Duniani. Mimi aisee ninavyojionja ni BIG NO, siwezi tu yaani.
11 Reactions
144 Replies
6K Views
Habari za siku waheshimiwa wa MMU poleni na wikiendi na mihangaiko ya kusaka chochote kwa ajili ya familia..... Bila kurefusha maelezo ngoja niende kwenye mada moja kwa moja ni kwamba kwa siku...
0 Reactions
187 Replies
19K Views
Wasalamu,hii kitu inanichanganya sana,unaweza Kuta mwanamke ana sura,ana Tako ila Tabia ni sio nzuri kivile. Unaweza Kuta mwanamke ana sura ya kawaida tu na Tako la kuibia tu ila ana adabu balaa...
2 Reactions
14 Replies
749 Views
Hii imetokea nchini Kenya. Kama wewe ni mtu wa mitandaoni naamini kuwa umeshaiona hii habari. Jamaa kaoa, kwa furaha kapost picha za ndoa mtandaoni, from nowhere akatokea jamaa akapost picha...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu niwape pole sana kwa taarifa zilizotufikia Wakuu wangu kuna kazi ambazo mwanaume akizijua na kuzifanya kwa weledi wa hali ya juu basi kuoa ni kazi sana * Kuosha viombo vingae na...
20 Reactions
57 Replies
3K Views
Mmekua na kasumba wa kutushambulia ambao hatutaki ndoa lakini insasikitisha sana mashambulizi yenu huwa hamlengi kwenye point mahususi. Utetezi wenu huwa unalenga zaidi kwenye dhiaka mfano kataa...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu. Yeye anataka ku impose sheria zake na...
8 Reactions
69 Replies
4K Views
Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”...
20 Reactions
118 Replies
7K Views
Francis Chacha Wambura Kazi; Mkulima Umri: 98 Wake: 6 Watoto: 47 Wajukuu: 86 Sababu ya kifo: uzee Lazaro Olemgbe Kazi: Seremala Umri: 115 Wake: 11 Watoto: 56 Wajukuu: 132 Sababu ya kifo: Uzee...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi huwa nasikiliza Kuna mwimbo mmoja hivi wa jamaa wa kuitwa [toxic_jinai] asee hili ni bonge moja la pini kwangu huu wimbo haujawai kuniangusha hasa pale mpenzi wangu inapotokea kanikosea na...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi. Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya...
20 Reactions
126 Replies
10K Views
Anaandika Kenge Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao...
9 Reactions
129 Replies
11K Views
Sote tunafahamu ukali wa maumivu ya moyo na mwili pale unapo mpenda na kumuamini mtu halafu analeta ufala na kuishia kukuumiza. Hii hali linapotokea huwa inakuacha na maumivu makali sana ambayo...
15 Reactions
196 Replies
12K Views
Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
11 Reactions
111 Replies
5K Views
Back
Top Bottom