Ikitokea mwenzawako ametangulia (hatuombei) utaoa/kuolewa tena?

Sio rahisi kupata mwanamke wa kuweza kuishi na watoto wangu wote 8 ikija kutoke mke wangu kipenzi ametangulia mbele ya haki (Mungu amtunze).

So, sio jambo rahisi nikaja kuoa tena. Zaidi naweza nikawa na mahusiano tu.

Huyu mke wangu namuombea kila siku na Mungu azidi kumuweka, maana ni ngumu kwa mwanamke kumvumilia mwanaume mshenzi kamimi aiseeee.

Ila mke wangu ni mrembo sana aiseee...
Ila hua nikilewa hadi nikaoza anakuja kuniokota, yaani niki tapika ananiosha aloooo.

Hakika huyu ni malaika alie sahaulika hapa duniani...😊
Kwanza ni pisskali kinyama mazeee...
 
Mimi nitaoa vizuri tu maana yote ni maisha na siwezi kuishi na uzuni miaka yote..

Hata yeye nimeshamwambia mm nikiwahi kusepa aendelee na maisha yake vizuri tu na akumbuke our good memories inatosha.

Watoto ndio nakuwa nao makini sn maana wanaweza wasije kuishi maisha ninayowapa tena maana mzazi alisi ni mzazi tu so nahakikisha hata kama sitakuwepo watanikumbuka daima.
 
Sio rahisi kupata mwanamke wa kuweza kuishi na watoto wangu wote 8 ikija kutoke mke wangu kipenzi ametangulia mbele ya haki (Mungu amtunze).
So, sio jambo rahisi nikaja kuoa tena. Zaidi naweza nikawa na mahusiano tu.
Huyu mke wangu namuombea kila siku na Mungu azidi kumuweka, maana ni ngumu kwa mwanamke kumvumilia mwanaume mshenzi kamimi aiseeee...
Ila mke wangu ni mrembo sana aiseee...
Ila hua nikilewa hadi nikaoza anakuja kuniokota, yaani niki tapika ananiosha aloooo.....
Hakika huyu ni malaika alie sahaulika hapa duniani...😊
Kwanza ni pisskali kinyama mazeee...
Toa namba yake tumpongeze.
 
Leta namba yake nimpe zawadi yake shemeji yetu kwa kumvumilia Kaka yetu cha pombe.
 
UNAANZAJE KUOA.

NDOA NI UTAPELI

Tafuta mwanamke weka nae makubaliano ya kukuzalia mtoto(watoto) ikiwezekana hata kwa malipo.

Watoto ataamua alee yeye au akupe uwalee mwenyewe

IKITOKEA AMEFARIKI CHUKUA WATOTO KAMA WAPO KWAKE NA UWALEE.

KAZI KWISHA.

NO NDOA.
NO UTAPELI.
 
Huwa inaweza kutokea mmoja wenu kutangulia mbele ya haki, japo hatuombei maana maisha si yetu ni majaliwa ya yeye aliyetuleta hapa Duniani.

Mimi aisee ninavyojionja ni BIG NO, siwezi tu yaani.
Chief mbona upeo wako wakuwaza ni mdogo sana sasa unaoa kwa ajiri ya nn ukipata jibu ndo utafanya maamuzi unafikili ukipata malazi ya kukuweka chini miezi mitatu au sita unafikili ni nani atafua nguo zako au nani atashika kinyesi chako ndugu gani ataacha kutafuta hela akae na wewe akuuguze miezi yote hiyo mke au mume ndo atafanya yote hayo
 
UNAANZAJE KUOA.

NDOA NI UTAPELI

Tafuta mwanamke weka nae makubaliano ya kukuzalia mtoto(watoto) ikiwezekana hata kwa malipo.

Watoto ataamua alee yeye au akupe uwalee mwenyewe

IKITOKEA AMEFARIKI CHUKUA WATOTO KAMA WAPO KWAKE NA UWALEE.

KAZI KWISHA.

NO NDOA.
NO UTAPELI.
Kukataa ndoa ni ubinafsi, uvivu, uoga na ukike alo....
Ebu oa mkuu
 
Back
Top Bottom