Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
5,707
11,963
Sote tunafahamu ukali wa maumivu ya moyo na mwili pale unapo mpenda na kumuamini mtu halafu analeta ufala na kuishia kukuumiza.

Hii hali linapotokea huwa inakuacha na maumivu makali sana ambayo huchukua muda kupoa na kuisha. Kuna ambao tiba ni kusamehe na kusahau na kuanza upya, kuna wale ambao hawakubali hadi walipizie.

Leo nawalenga hawa ambao hawakubali hadi walipizie ndio roho zinakubali utulivu na kuachia maumivu. Mimi nipo kundi hili pia.

Sifa moja ya watu wanaolipiza kisasi hadi kinatimia ni kuwa wao binafsi hawapendi kuumiza wengine hivyo wakikosewa huwa hawakubali hadi wahakikishe yule aliyewakosea kwa makusudi ameondoka na somo au funzo la kuja wahadithia wajukuu zake na asije mkosea tena mtu mwingine maishani mwake na ajue alikosea mtu wa kuchezea.

Kwa experience yako unakumbuka ulitoa somo gani na kwa nani (mwanaume au mwanamke) na ilimgharimu vipi hadi ukajua?
 
Kuna shangazi m'moja hapo Naijeria aliletewa pigo sizo na kabinti kachuo kwa mume wake wa ndoa ya miaka zaidi ya 10.

Anko Baba alikuwa anatoka kimapenzi na kaslay queen ka chuo kikuu hadi mkewe akajua. Sasa kwasababu mke alikuwa ni wife material hii vita akaigeuza personal na hakutaka kushindwa kizembe na kunyang'anywa mume. Hivyo akajikuta amemtimbia binti hostel na kumpa kichapo cha mbwa mwizi na kumtia adabu.

Taarifa zikamfikia mume wake ambaye akaamua kumpangia binti nyumba sehemu nyingine ya siri mbali na pale hostel.

Binti kumuonyesha Shangazi kuwa anajeuri na ndie mshika mpini akaanza kujirekodi kwa siri akifanya mapenzi na anko baba na kumtumia videos mke wa ankobaba. Akawa pia anamtumia picha za zawadi za birthday na valentine anazopewa na vitu mbali mbali sijui pesa na kadhalika. Vita ilikuwa kubwa sana ikafika hatua mwanaume akawa analala hata mwezi huko nje.

Shangazi akapatwa na wazimu sana haya matukio nusu yampe kichaa cha maisha isingekuwa marafiki zake na ndugu kumshika mkono na kumpa bega na faraja alikuwa anajinyonga afe aache watoto wakiwa yatima.

Akajikita sana kwenye maombi na kusali sana ndipo amani yake akaipatia huko. Mwanaume akawa hata kulala nyumbani anaogopa mwanamke akamwambia hii ni nyumba yako njoo watoto wakuone baba yao. Kama unahisi napanga kukudhuru basi mimi sitalala chumbani kwako nitalala chumba cha wageni ili ulale umefunga chumba kwa amani. Na chakula kama hautaki nikupikie unataka kula unapotaka sawa mimi sina tatizo.

Maisha yakawa hivyo hadi kale kabinti kakamaliza chuo na kuanza kufosi jamaa aache familia yake awe na yeye kakawa kanampa pressure ambazo jamaa zilianza mpa wakati mgumu. Akaamua kutemana nako. Kabinti kakaja kupata boyfriend kwenye mishe zake huko anatokea familia ya kitajiri sana huko Naijeria. Ukoo mzima ni watu wanaojiweza na hakuna njaa hata kidogo. Watoto wao wote wamesoma nje, na wanafamilia wengi wanaishi nje akiwamo huyo kijana.

Shangazi siku moja amekaa zake na moja ya rafiki yake anaemiliki saloon na mambo ya maharusi kubwa sana hapo Naijeria akamuona binti kumbuka ni miaka si mingi alikuwa kwenye vita kubwa sana iliyosababishwa na binti.

Binti alikuja akiwa amependeza sana amezidi kuwa mzuri huku ameongozana na mchumba wake mpya ambaye anaishi Marekani. Walifika kwaajiri ya maandalizi ya bachelorette party, tea party, send-off na harusi. Rafiki wa shangazi ndie alipata hiyo tenda.

Shangazi maumivu yakamrudia upya ila safari hii aliweza kumaintain hasira zake na kuwa mtulivu hadi walipomaliza kilichowaleta na kuondoka. Baada ya shughuli za hapa na pale rafiki yake akarejea alipokuwa shangazi ili waendelee na story. Shangazi alikuwa anashauku na maswali mengi sana ya kuuliza. Rafiki yake akashare nae details nyingi sababu anaifahamu familia ya bwana harusi vema sana na ni watu wa karibu kwake ameshafanya nao kazi za nyingi za Sherehe zao.

Shangazi akaomba kushiriki hiyo sherehe na wakamuweka kwenye group za WhatsApp za wanafamilia wa bibi harusi na bibi harusi. Kipindi cha nyuma wakati akipigana vita na binti na akawa anamtumia video alipata maumivu sana hadi alipigiza simu yake chini ikaua kioo.

Akaichukua ile simu na kuipeleka kwa fundi kisha kutengeneza kioo kisha akarejea na kupekua na kukuta video na picha zote za utupu zikiwepo.

Huyu binti alikuwa tayari ameshamsahau na hakuwaza kukutana nae tena maishani maana alikuwa anaishi nje marekani na huyu mchumba wake. Shangazi alisubiri hadi siku ya harusi count down ikiwa imebakia siku moja tu kuelekea siku ya tukio. Ndugu kutoka mataifa walipokuwa wakawa wamesafiri kuja kwaajiri ya tukio hili.

Shangazi akamcheki slayqueen na kumsalimia mwanzo hakuweza mtambua. Akamtumia zile video na picha. Binti akampigia Shangazi. Shangazi akapokea binti kwa mkwara mzito akamtishia kuwa hii siku ni muhimu sana kwake akithubutu kufanya lolote atamfanya kitu kibaya. Shangazi huu mkwara ni kama sasa ukamtibua mara mbili na kumpa hasira ya kufanya maamuzi usiku ule ule ingawa hakuwa amepanga kitu kwa madai yake alitaka kumpa tumbo joto ila dharau na matusi ya binti hata hakujibu chochote hadi binti alipokata, Shangazi huku anatetemeka akachukua simu na kutuma zile video na picha kwa wakwe na ndugu na jamaa wa yule kijana kisha akapost kwenye group.

Aibu ilikuwa kubwa sana, binti alizimia mara kadhaa na kulazwa hospital nusu ya kupata ukichaa. Hii ndoa ilikuwa inakwenda kufungua milango mingi sana ya maisha kwake ila ikamalizwa na kisasi cha shangazi kwa aliyofanyiwa na binti kipindi anamchukulia mume wake.
 
Mi nilisamehe tu

Na hio ndio dozi kubwa kuliko zote

Hata ufanye nini huwezi lipiza yale maumivu aliyokuachia (hata utoe roho yake)

Lakini ukisamehe trust me ataanza kutapatapa yeye mwenyewe.
Kuna wengine kisasi ndio msamaha sababu hajawahi wala hawana utamaduni wa kuumiza watu makusudi.

Sasa mfano mwanamke wako anakwenda nje ya ndoa anapata na mtoto kabisa. Hapo unasamehe ili iweje?
 
Hakuna revenge au jibu zuri kwa adui kama kukaa kimya!
Hii njia imeniletea matokeo mazuri kwangu tokea nakua mpaka sasa...

Mtu akitaka vita wewe kaa kimya, Mwiko kujibu lolote

Tuje kwa Expired bf na gf
Akipiga angalia usipokee
Akitext WhatsApp popote pale usijibu ikiwezekana hata kufungua usifungue ipite hata miaka 10 usirespond chochotee

Mkikutana msalimie kwa tabasamu
Lazima ataumia kuliko wewe
Imagine mtu anakuona online ila msg zake hujibu hata mwaka... Lazima akonde!
 
Kuna shangazi m'moja hapo Naijeria aliletewa pigo sizo na kabinti kachuo kwa mume wake wa ndoa ya miaka zaidi ya 10.

Anko Baba alikuwa anatoka kimapenzi na kaslay queen ka chuo kikuu hadi mkewe akajua. Sasa kwasababu mke alikuwa ni wife material hii vita akaigeuza personal na hakutaka kushindwa kizembe na kunyang'anywa mume. Hivyo akajikuta amemtimbia binti hostel na kumpa kichapo cha mbwa mwizi na kumtia adabu.

Taarifa zikamfikia mume wake ambaye akaamua kumpangia binti nyumba sehemu nyingine ya siri mbali na pale hostel.

Binti kumuonyesha Shangazi kuwa anajeuri na ndie mshika mpini akaanza kujirekodi kwa siri akifanya mapenzi na anko baba na kumtumia videos mke wa ankobaba. Akawa pia anamtumia picha za zawadi za birthday na valentine anazopewa na vitu mbali mbali sijui pesa na kadhalika. Vita ilikuwa kubwa sana ikafika hatua mwanaume akawa analala hata mwezi huko nje.

Shangazi akapatwa na wazimu sana haya matukio nusu yampe kichaa cha maisha isingekuwa marafiki zake na ndugu kumshika mkono na kumpa bega na faraja alikuwa anajinyonga afe aache watoto wakiwa yatima.

Akajikita sana kwenye maombi na kusali sana ndipo amani yake akaipatia huko. Mwanaume akawa hata kulala nyumbani anaogopa mwanamke akamwambia hii ni nyumba yako njoo watoto wakuone baba yao. Kama unahisi napanga kukudhuru basi mimi sitalala chumbani kwako nitalala chumba cha wageni ili ulale umefunga chumba kwa amani. Na chakula kama hautaki nikupikie unataka kula unapotaka sawa mimi sina tatizo.

Maisha yakawa hivyo hadi kale kabinti kakamaliza chuo na kuanza kufosi jamaa aache familia yake awe na yeye kakawa kanampa pressure ambazo jamaa zilianza mpa wakati mgumu. Akaamua kutemana nako. Kabinti kakaja kupata boyfriend kwenye mishe zake huko anatokea familia ya kitajiri sana huko Naijeria. Ukoo mzima ni watu wanaojiweza na hakuna njaa hata kidogo. Watoto wao wote wamesoma nje, na wanafamilia wengi wanaishi nje akiwamo huyo kijana.

Shangazi siku moja amekaa zake na moja ya rafiki yake anaemiliki saloon na mambo ya maharusi kubwa sana hapo Naijeria akamuona binti kumbuka ni miaka si mingi alikuwa kwenye vita kubwa sana iliyosababishwa na binti.

Binti alikuja akiwa amependeza sana amezidi kuwa mzuri huku ameongozana na mchumba wake mpya ambaye anaishi Marekani. Walifika kwaajiri ya maandalizi ya bachelorette party, tea party, send-off na harusi. Rafiki wa shangazi ndie alipata hiyo tenda.

Shangazi maumivu yakamrudia upya ila safari hii aliweza kumaintain hasira zake na kuwa mtulivu hadi walipomaliza kilichowaleta na kuondoka. Baada ya shughuli za hapa na pale rafiki yake akarejea alipokuwa shangazi ili waendelee na story. Shangazi alikuwa anashauku na maswali mengi sana ya kuuliza. Rafiki yake akashare nae details nyingi sababu anaifahamu familia ya bwana harusi vema sana na ni watu wa karibu kwake ameshafanya nao kazi za nyingi za Sherehe zao.

Shangazi akaomba kushiriki hiyo sherehe na wakamuweka kwenye group za WhatsApp za wanafamilia wa bibi harusi na bibi harusi. Kipindi cha nyuma wakati akipigana vita na binti na akawa anamtumia video alipata maumivu sana hadi alipigiza simu yake chini ikaua kioo.

Akaichukua ile simu na kuipeleka kwa fundi kisha kutengeneza kioo kisha akarejea na kupekua na kukuta video na picha zote za utupu zikiwepo.

Huyu binti alikuwa tayari ameshamsahau na hakuwaza kukutana nae tena maishani maana alikuwa anaishi nje marekani na huyu mchumba wake. Shangazi alisubiri hadi siku ya harusi count down ikiwa imebakia siku moja tu kuelekea siku ya tukio. Ndugu kutoka mataifa walipokuwa wakawa wamesafiri kuja kwaajiri ya tukio hili.

Shangazi akamcheki slayqueen na kumsalimia mwanzo hakuweza mtambua. Akamtumia zile video na picha. Binti akampigia Shangazi. Shangazi akapokea binti kwa mkwara mzito akamtishia kuwa hii siku ni muhimu sana kwake akithubutu kufanya lolote atamfanya kitu kibaya. Shangazi huu mkwara ni kama sasa ukamtibua mara mbili na kumpa hasira ya kufanya maamuzi usiku ule ule ingawa hakuwa amepanga kitu kwa madai yake alitaka kumpa tumbo joto ila dharau na matusi ya binti hata hakujibu chochote hadi binti alipokata, Shangazi huku anatetemeka akachukua simu na kutuma zile video na picha kwa wakwe na ndugu na jamaa wa yule kijana kisha akapost kwenye group.

Aibu ilikuwa kubwa sana, binti alizimia mara kadhaa na kulazwa hospital nusu ya kupata ukichaa. Hii ndoa ilikuwa inakwenda kufungua milango mingi sana ya maisha kwake ila ikamalizwa na kisasi cha shangazi kwa aliyofanyiwa na binti kipindi anamchukulia mume wake.
Duuhhhh....the law of karma
 
Hii chai ina miaka zaidi ya sita hapa JF.
 
Shangazi oyee

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Sote tunafahamu ukali wa maumivu ya moyo na mwili pale unapo mpenda na kumuamini mtu halafu analeta ufala na kuishia kukuumiza.

Hii hali linapotokea huwa inakuacha na maumivu makali sana ambayo huchukua muda kupoa na kuisha. Kuna ambao tiba ni kusamehe na kusahau na kuanza upya, kuna wale ambao hawakubali hadi walipizie.

Leo nawalenga hawa ambao hawakubali hadi walipizie ndio roho zinakubali utulivu na kuachia maumivu. Mimi nipo kundi hili pia.

Sifa moja ya watu wanaolipiza kisasi hadi kina timia ni kuwa wao binafsi hawapendi kuumiza wengine hivyo wakikosewa huwa hawakubali hadi wahakikishe yule aliyewakosea kwa makusudi ameondoka na somo au funzo la kuja wahadithia wajukuu zake na asije mkosea tena mtu mwingine maishani mwake na ajue alikosea mtu wa kuchezea.

Kwa experience yako unakumbuka ulitoa somo gani na kwa nani (mwanaume au mwanamke) na ilimgharimu vipi hadi ukajua?
Nilimsamehe
 
Back
Top Bottom