Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gaelle, Jun 22, 2012.

 1. Gaelle

  Gaelle Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau naomba mnisaidie ni zawadi gani naweza mpatia mume wangu.... nisaidieni.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kipochi cha utamu ....
  ndo icho tu wanaume wanapenda..
  hivo vingine utajisumbua bure...
   
 3. Gaelle

  Gaelle Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanks smile.... lakini hicho kipochi ulimaanisha wallet? wat f km hatumi wallet?
   
 4. h

  hajira New Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kubwa ni heshima kwake na ndugu zake,uvumilivu,hekima ya hali ya juu unapotokea mkwaluzano baina yenu,usiwape marafiki nafasi ya kujua kila mnalo panga na kufanya wewe na mumeo au kujua matatizo yenu.Kuwa mbunifu katika swala zima la sita kwa sita,msaidie katika swala zima la uchumi hasa kumshauri katika matumizi yaliyo ya manufaa kwa familia,mwisho umshauri kufanya ibada.Hizo ndo zawadi nzuri kama unataka ndoa idumu sio maua,kadi na boxa na surprise za bethidey,hizo ni minor.Hizo zifanye baada ya hizo za juu.
   
 5. H

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  mimi nilichokuwa nakitaka kwa waifu kabla sijamuoa na ambacho ninakipata hadi leo, kwanza kabisa ni kunipa unyumba mzuriiii hadi akili yangu ichangamke na kutulia kama ilikuwa na stress,kuwa mwaminifu asitoke nje ya ndoa, na aniheshimu mimi na ndugu zangu....nilikuwa sihitaji pesa zake, wala mchango wowote wa pesa kwenye familia kwasababu ninazo....akinipa hizo, hata kama ndugu zangu watamwandama vipi nitamtetea...lakini kama hanipi unyumba mzuri, yaani sio fundi, alafu ananidharau, naungana na ndugu zangu tumchachafye sasaivi.
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wallet sio kipochi cha utamu...wallet inaliwa kwani?
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  show up naked with beers lol
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  safi my dear ungekuwa karibu ningekupa zawadi
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  he jamani... Smile anamaanisha kipochi nanii.. Gaelle bana....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  uhuhuuuuu nimekumisije brother....nakuaminia
   
 11. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  dada janjaruka wewe! kipochi cha utamu hujui?shauri yako dada!
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  michango mizuri kutoka kwa wadau, zawadi utaipata tu hapa! ol the best!
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ungeni miss ungenifata pm na kipochi lol
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kipochi manyoya
   
 15. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Upendo, heshima, uaminifu na ... By the way mi mwanaume nimepita tu .... Sorry ....!
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kipochi manyoya changu bwana nilikipoteza ...siku hizi sina...
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sijui kwa nini haelewi......
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  miss hp heri umepita nimekuona love u
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ngoja nijilipue nimwambie....kk security!
   
 20. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Umnunulie Subaru sports atasahau kila kitu a'drive' away from problems in his life
   
Loading...