Msisimko wa kingono husababisha kutolewa kwa homoni kama vile dopamine na oxytocin.
Mara tu baada ya kilele, viwango hivyo hupungua, na ile sehemu ya ubongo inayohusika na mantiki (logic) na...
Hbari
Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa...
Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa !
Kwa sasa kupata mwanamke
1. Kuwa na Pesa
2. Cheo
3. Kipaji
4. Muongo...
Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi,
Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi
Let say unapata 20,000$ monthly
Kwanza...
Kuna demu hapa mtaani black ana sura ya kawaida sana ila ukimtongoza anaweza kukupiga hata kofi anakwambia hataki mambo ya kijinga wahuni wote mtaani wamegonga mwamba tusema hawana mpango nae hata...
Habari zenu baada ya kuruka ruka sana hapa na pale nimeamua nioe, hivyo nilipopata karikizo kadogo nikawa nimeshapanga na mdada rafiki yangu wa karibu wa zamani kwamba namuoa. Akakubali,
Tatizo...
Nipo kisiwa cha unguja Bado sijapata direction, ni sehemu gani hapa naweza nunua potassium, please isiwe shamba, naombeni maelekezo hususani hapa mjini magharibi
Katika maisha kila mtu kuna kitu ambacho ajawai kukifanya kabisa kwaiyo uwa anatamani sana kukifanya icho kitu kwa upande wangu mimi na umri nilionao nilikua tayari nimewai kufanya mambo mengi...
Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi
Nawala anayechukia achukie
Hapa makasiriko ni mengi sana sijui Tatizo nini
1. Ni maisha magumu ?
2. ARVs
3. Mitaji kukosa
4. Kukimbiwa na mademu au Tatizo ninii?
Au njaaa ?
Mtu unakuwa idle Kidogo Unasema ngoja nifanye...
Sote tunajua kumwambia mtu ukweli hasa kwenye kizazi hiki ni mtihani yaani ile mpenzi wako au rafiki yako kazingua kwenye jambo fulani na haujapenda hilo tendo tatizo linakuja kwenye kumchana je...
Unakuta unachati na mpenzi wako yuko mbali umemmiss
Hivi hakuna namna wanasayansi wakae wabuni mtambo spesho kwa wanao misiana , wa kutuma watu kama unavyotuma meseji kwenye simu?
yaani shaa...
Wadau najua maisha ni magumu sana. Sikatai life is not fair kwa wote. Kuna watu wako vizuri kiuchumi. Sasa nini kinakufanya umnunulie gari, umfungulie biashara, uwajengee wazazi wa mkeo nyumba?
Aisee ni vigumu kuona bikra dsm, inasikitisha
Utafiti umefanya na (erm)huu umehusu wasichana wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa bikira, ( virginity percentage at 25 years old)
Kati ya watu miamoja...