Ugeni na .... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugeni na ....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 4X4byfar, Nov 12, 2008.

 1. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2008
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi jamani naombeni msaada kwenye hili swala au isije kuwa ninafikiria kimakosa! tuseme your husband has invited his friend home for lunch or dinner. Then baada ya maakuli na mivinyo kwa sana, anamlazimisha mwenzie alale home tena sebuleni kwenye safari bed maana chumba nikimoja cha kulala. Nimekaa nikachekecha sipati jibu maana huyo bwana angeweza kurudi home kwake na akapumzike. Nikiiuliza naambiwa ndo ulaya hii! Je huu niungwana wana JF?
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sijui upo nchi gani, lakini nchi nyingi ukiondoa Tz sio hairuhusiwi kuendesha gari ukiwa umelewa, hilo ni moja na iwapo huyo mgeni alikuja na gari lake hapo kwenu.

  Pili labda jamaa alikuwa amelewa sana kiasi kwamba mume wako akaona sio vema akiondoka hata kwa taxi ama public bus.

  Tatu inawezekana mgeni wenu alikuwa hana hata nauli ya taxi na muda wa public bus umeshapita na anakaa mbali, hivyo wazo la kulala likawa ni bora kabisa....

  Anyway sio ajabu mgeni kulala ukumbini, sioni tatizo hapo, au wewe ulipenda mlale nae huko chumbani?

  Mwisho huu ni uungwana kabisa..."Mambombotela"
   
  Last edited: Nov 12, 2008
 3. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2008
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Asante kwa maoni yako. Nipo uk, mgeni hakuwa amelewa, alikuwa na bus ticket ya one month. Let me wait for other members contribution also.
   
 4. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  huyo mgeni ni wa jinsia gani?
   
 5. BrownEye

  BrownEye Member

  #5
  Nov 13, 2008
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lazima ni mwanaume wa shoka... bibi si kamwita huyo mgeni (..Mwenzake na mumewe)? Naona amemaanisha mwanaume.
   
 6. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  akimleta siku nyengine ukiona dalili za kumkaribisha tena kulala .. unavaa kanga moja na mapemaaaa ... ujipitishe mara mbili tatu mbele yao .. si unajua tena mtoto wa kike .. mumeo will think otherwise .. usijisumbue kugombana nae .. actions speak louder than words
   
 7. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2008
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Lol, hii niboko.
   
 8. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2008
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ahaaaaaaaa eeeeeeeeehh! naima dada wee kiboko! Duh, wengine dini imetukaa sana kwa hiyo inakuwa ngumu jamani.
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Wewe nawe umetokea wapi dini gani hiyo.Maxxxxxxxx Shimba njoo....!!!
   
 10. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2008
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  !!!!!!!!!!!!! hujaeleweka mkuu.
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kunaweza kuwa kuna kitu kinaendelea kati ya mumeo na huyo rafiki yake baada ya wewe kulala,jaribu kuchunguza kwanza na kama wote wapo hapo itakua rahisi wewe kugundua tulia kwanza,kuna mambo ya ajabu dunia hii.
   
 12. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Heeeee!! hii kali, ...manake anaweza kumtoa nduki mgeni wa watu na asimwalike teena..!
   
 13. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2008
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hata mimi nilishaazanga kupata hizo hisia, nilifatilia kwa ukaribu ila kulikuwa hamna kitu. Then siku moja akajaga kumwambia demu mmoja anayedai wanaheshimiana sana from the same tribe eti alale. Hiyo siku ndo nilimpiga stop na kumwambia the house is not a ghetto place. From there akawa sasa akiwakaribisha anajitahidi sana mgeni akae mpaka saa saba usiku wakinywa na kupiga mziki kwa juu sana mpaka unadisturb mtu anayetaka kulala. Ndo maana nilikuja kuuliza hapa je, huu niungwana, bcoz nikama nimemharibia starehe yake jama!
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo napumua vizuri kama hamna kitu kinachoendelea,baada ya jibu hili naona mko tafauti na mumeo wewe unataka utulivu yeye anataka kelele na ulevi sasa itabidi ubadilike au utampoteza.Kunywa nae,sikilizeni muziki pamoja(sauti ya wastani) hatakua na haja ya kuja na watu wakum-entertain.
   
 15. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2008
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa mawazo, yawezekana hobbies haziendani. Nasiwezi kujilazimishia kuiga hobbies zake! Na zaidi ya hapo naoana anapenda magenge kama chokoraa. Mtu asiyekuwa na discipline na kuithamini ndoa yake ni kama chokaraa.
   
 16. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  yawezekana umempiga mkwara ya kwenda viwanja kujumuika na
  washkaji wake hivyo ndo kaamua kuburudika nao home. aidha kama
  huo ndio ukweli basi nadhani anajitahidi kukuonyesha kwamba watu
  anaokutana nao interest yao ni kinywaji na muziki na hakuna la zaidi.

  nadhani ukimruhusu kujumuika na wenzake kunako viwanja ugeni
  na kero vitakwisha home.
   
 17. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2008
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hajakatazwa kwenda kujumuika na mtu yoyote. Sema uchokoraa ndo unaomsumbua naona na wewe ndo hao hao. Pole.
   
 18. BantuGirl

  BantuGirl Senior Member

  #18
  Nov 15, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Umejaribu kukaa nae na kumueleza yale yanayokuumiza juu yake.... Samahani je ulikutana nae wapi kabla ya kukuoa? Nafikiri kabla ya mtu kuolewa/ kuowa huwa tunamuda wa kuchunguzana tabia n.k kama zinaendana au zinavumilika... Uckate tamaa dada kaa nae zungumza nae naamini kama anakupenda atabadilika
   
 19. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2008
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilishakaa naye sanaa... tulikutana dar es salaam, after one week he came to uk, then we went on with the contacts through the mails and telephone. It is true I have known my problem and I realy reglate with it. I think I will never make another mistake as this next time.
   
 20. BantuGirl

  BantuGirl Senior Member

  #20
  Nov 16, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pole sana watu huwa tunajifunza kutokana na makosa.... Mimi nami iliwahi kunitokea... naelewa jinsi unavyojisikia, inauma tena sana.. Wewe ni mwanamke Simama imara usikate tamaa. Pole angalia tu usije ukawa mtumwa wa mapenzi.. Mungu akusaidie
   
Loading...