Habari wana MMU,Mimi ni kijana katika pitapita zangu kwenye mahusiano kuna kama wadada wa3 nliotembea nao kunakitu walikuwa wananiambia nikama vinafanana nikajaribu kuwauliza kilamtu alipajibu la...
Habari wapendwa, hebu tuzungumzie hii kitu kidogo najua kuna Magreat thinkers kibao humu ndani!
"Wahenga walisema Mapenzi hayachagui pesa Wala elimu" Huu msemo some time naweza sema ni...
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Jje ulishawahi kujutia uamuzi huo? Tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/kichefuchefu kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake...
1. Ishi kwa kumtegemea Mungu
2. Weka akiba ya fedha bank
3. Tafuta mpenz mmoja sahihi, atakaekuwa mshaur kwako
4. Anza maisha ya kujitegemea na sio kuishi kwa...
Hali hii hutokana na nini? Utakuta mtu ni wa hadhi ya kawaida tu,hana pesa ya kutisha wala sura ya kuvutia kiviile,lakini kila siku anawapanga wadada mstari,sometimes hadi wanafumaniana na...
Habari zenu waungwana..
Mimi nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana classmet wake waliosoma pamoja alikuja kumtembelea huyo rafiki.. Jamaa akanimezea mate akamuuliza jamaa huyo binti ana mtu...
Najua wengi hamnikumbuki humu, ila isiwe shida,
HIVI kwanini wanaume hata iweje michepuko hatuachi?? utajitahidi miezi kadhaa lakini hamadi, unajikuta ushapiga kimchepuko.Kila siku watu...
Leo ndio nimegundua kuwa kwanini vijana wengi hawaachi hii kitu? Na kila siku idadi ya watumiaji inaongezeka
Leo nilikuw mechili getto alone daah!! Ghafula nikapata hamu ya kupiga nyeto ikaja na...
Ni kisa cha kweli kilichompata Jirani yangu hapa, alikuwa akiishi na mwanamke ambaye yeye anasema alikuwa ameokoka na mara nyingi alipokuwa akichelewa kurudi kutoka kazini au yule mwanamke...
Habari yenu wakuu,
Nina siku kibao sijaja hapa MMU kusabahi, hivyo nmeona leo nije tupeane maujanja ya kuwafurahisha Viumbe wetu waliotoka ubavuni mwetu. Tujaribu kuziangalia Baadhi ya Sehemu...
Leo nimeshuhudia kitendo ambacho hadi sasa nahisi kuchanganyikiwa. Nimepanda mwendokasi natoka Kariakoo kwenda Ubungo kiti chanyuma. Magomeni kaingia mtoto mzuri hatari alafu ana shepu balaa tako...
Jamani dada zetu eeh leo ngoja tuwaambie, kwanza kuolewa ni heshima sana na ukimuona mtu anakuoa kwanza kakueshimu sana kama mlikuwa hamjui.
Sasa basi sisi wanaume tunamuogopa sana mwanamke...
Ni rafiki yangu sana zaidi ya ndugu. Amenieleza tatizo hilo la kuota ndoto za kufanya ngono na ngedere na hajui tafsiri ya hizi ndoto ambazo zimefululiza kumtokea mwaka huu.
Mwenye utaalamu au...
Wasalaam mabibi na mabwana,
Enyi wanaume, leo naomba niwausie kuhusu michepuko! Shetani ameingia kwenye nyumba nyingi sasa mnaona kama fasheni kuwa na michepuko. Amini kwamba hakuna mchepuko...
Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa...
Jamani akina dada kuolewa ni heshima kubwa sana kwa mwanamke yeyote yule. Hata uwe na maisha ya kifahari kiasi gani kama huna mume hujakamilika.
Ili uolewe kuna mikao (pose) unatakiwa kuwa nayo...
Mimi ni kijana tuu nafanya kazi nzuri tuu na vitega uchumi tu vya kutosha ,,,elimu yangu saizi ni master ,ila Nina degree kutoka mzumbe,,na nikasoma school of law na saizi ni master yangu tatizo...
Habari zenu wanaJamiiForums,
Leo nimegundua kumbe karibia wanawake wanapenda wawe na makalio makubwa nilikuwa sehemu akapita mwanamke mwenye shehena ya maana yaani zinga la furushi huko nyuma...
Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mimi nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33.
Kitendo cha mimi kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa...