chox05
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 231
- 98
Habari wana MMU,Mimi ni kijana katika pitapita zangu kwenye mahusiano kuna kama wadada wa3 nliotembea nao kunakitu walikuwa wananiambia nikama vinafanana nikajaribu kuwauliza kilamtu alipajibu la tofauti nikwamba wanadai tukifanya sex kunasehemu nagusa huko ndani kunamda ikawa inanipa shida upo katikati ya mchezo anatamani akutoe nlivyojaribu kuuliza wakwanza aliniambia ni mlango wa uzazi wapili akaniambia kizaz watatu akaniambia kidude ila hakunieleza vizuri kama kunamtu mwenye uelewa na hii kitu anifafanulie:what: shukrani