Natafuta girlfriend?

Natafuta girlfriend?

Seleina Tikili

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,410
Reaction score
2,730
nmechoka na usela awe mweupe mwenye makebo makubwa.Na awe yupo dsm din muislamu kabila msambaa. Nipo 28 yrs my future my awe 19-25 yrs.
 
nmechoka na usela awe mweupe mwenye makebo makubwa.Na awe yupo dsm din muislamu kabila msambaa. Nipo 28 yrs my future my awe 19-25 yrs.
Mwanetu kimekukuta nini tena unataka kuoa Makebo makubwa tena? Halafu una chagua namba mbaya hizo 19 mpaka 25 zikiwa na Makebo Makubwa zinajipeleka kwa wenye miaka 40 huko ndio wanafukunyua hayo Makebo maakubwa wewe na 28 yako anakuona katoto tena atakuita kabisa little boy anataka madude ya kufokonyoa Makebo makubwa vizuri

Bittersweet truth from your minor league coaches.
 
Njoo PM nikuunganishe na Mariam nisaulie, mshangazi nginjanginja wa ngoma baikoko anaezungusha uno kabebelea kisinia na tako moja aloooo....😜
 
Njoo PM nikuunganishe na Mariam nisaulie, mshangazi nginjanginja wa ngoma baikoko anaezungusha uno kabebelea kisinia na tako moja aloooo....😜
Mzigo unaotaka kumpa Jamaa n mkubwa mno 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom