masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,173
- 18,388
Mnaanza lini tena member mpya nipo hapa
Nimesoma ule uzi wa nguvu itokanayo na jambo hilo
am in aiseee
Nimesoma ule uzi wa nguvu itokanayo na jambo hilo
am in aiseee
🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba wana wa humu ndo wamekushawishi kufanya hvy na sio ww mwnyw?
Ah utarudi kukigawa tuu
watu walijiamulia mamboIle season 1 ilikuwa successful au watu walikataana? 😀😀
Hv kwa keyboard unajuaje hy ishu imefanikiwa?Ile season 1 ilikuwa successful au watu walikataana? 😀😀
Mkuu ni lazima upate wa kukusindikiza?Mnaanza lini tena member mpya nipo hapa
Nimesoma ule uzi wa nguvu itokanayo na jambo hilo
am in aiseee
Kama zipi?🤣🤣🤣🤣🤣
faida ni nyingi
Nilijaribu hiyo kwa miezi mitatu, kamba ilipokatia nikufikia gape za miezi yote 😁😁Hv kwa keyboard unajuaje hy ishu imefanikiwa?
Hapa ndipo tunapoanza kudanganyana online 😂Mkuu ni lazima upate wa kukusindikiza?
Kwa ufupi n ulikuwa unajitesa tuu 😂Nilijaribu hiyo kwa miezi mitatu, kamba ilipokatia nikufikia gape za miezi yote 😁😁
Au sio mzee wa kunyonya vinyeoHapa ndipo tunapoanza kudanganyana online 😂
Malizia sentensi Kwamba n kwa girl ninayemuamini 😎Au sio mzee wa kunyonya vinyeo
Wewe usitupangie. Zingatia haop kwenye KINY -EOMalizia sentensi Kwamba n kwa girl ninayemuamini 😎