Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika jamii ya sasa, mijadala kuhusu migogoro ya ndoa na talaka imekuwa ikiongezeka. Wapo wanaoamini kuwa watu wa kizazi cha sasa hawana uvumilivu katika ndoa. Aidha wengine wanasema kuwa watu...
1 Reactions
7 Replies
62 Views
Usaliti ni miongoni mwa mambo yanayoweza kuvuruga uaminifu katika mahusiano. Lakini swali linalobaki ni moja: Mtu akisaliti mara moja, anastahili kupewa nafasi ya pili? Kwa baadhi ya watu...
1 Reactions
8 Replies
57 Views
Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka...
29 Reactions
381 Replies
12K Views
Habari wakuu, Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka. Mimi nina...
19 Reactions
106 Replies
1K Views
Watu wengi hukutana na maumivu ya mapenzi. Kila mmoja anakutana nayo kwa namna tofauti. Wapo ambao wanapenda wasipopendwa. Wengine husalitiwa wakiwa ndani ya uhusiano. Wengine huachwa baada ya...
1 Reactions
2 Replies
60 Views
Mume wako amemjaza mimba Mchepuko wake. Bila wewe kujua, kisha huyo mwanamke anafariki wakati wa kujifungua. Mume wako anarudi nyumbani na mtoto mchanga na kwa huzuni Sana anakueleza kila kitu...
1 Reactions
2 Replies
56 Views
🔥MAMBO🔟 YANAYOPUUZWA NA WANAUME WENGI YA KUIMARISHA NGUVU KITANDANI💪 Huu ni utangulizi tu wa mada zinazofuata, nitaendelea kutoa ufafanuzi wa kina zaidi kwa mada moja moja katika masomo yaliyo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna hawa jamaa ukiwaongeleaga wadogo zao wa kike au dada zao Huwa wanakasirikaga ? Mfano mimi Kuna mwanangu mmoja ukimtaja tu dada ake jamaa ananuna ......,yani ukimuambia tu dada ako ni pisi...
1 Reactions
1 Replies
37 Views
Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha. Mimi babu yenu...
34 Reactions
220 Replies
2K Views
Watu wengi tumedanganywa na maneno kama, “Ulikuwa unaishi kabla hujamjua,” au “Umejuana naye ukubwani.” Maneno haya wakati mwingine yanatufanya tuwachukulie poa watu ambao tumekutana nao katika...
5 Reactions
6 Replies
81 Views
Nianzie hapa, kuna video ya dokta mmoja nilikua nasikiliza, maudhui yake ni kuhusu, Tendo la ndoa (sex). Kwenye maelezo katikati mtaalamu alikazia kusema wakati wa sex, endapo mwanamke atakua hana...
6 Reactions
23 Replies
358 Views
Mwanaume mmoja amebakwa katika barabara ya daraja lenye shughuli nyingi mjini Newcastle baada ya kukubali kupanda lifti ya mtu asiyemjua. Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 24 aliingia kwenye gari...
1 Reactions
55 Replies
13K Views
Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi. Kuna mwenye...
4 Reactions
24 Replies
436 Views
Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini...
14 Reactions
9K Replies
659K Views
Ndoa haivunjwi kila mara na kukosekana kwa upendo. Wakati mwingine huvunjwa na ego, kutokuelewana, kinyongo na kushindwa kujifunza kukua pamoja. Ndoa yenye afya si ile ambayo haina migogoro, bali...
2 Reactions
5 Replies
134 Views
Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
3 Reactions
27 Replies
237 Views
Ewe valuable man, acha kuwa kama simp... Don't fall for breadcrumbs na mademu wenye wanatumika na kubadilishwa kama daladala za mbagala. Amka na usifall kwa doormats na vidampa vya mjini. You're...
7 Reactions
17 Replies
217 Views
Kesho napeleka mahari Kwa Binti bikra wa miaka 18 ambaye nlitafutiwa na dadayangu Kesho naenda kukabiziwa mke bila ndoa Kisha tufanye utaratibu wa kufunga ndoa
8 Reactions
39 Replies
420 Views
Anataka nisafiri ili nikaonane naye, na kama nitashindwa kusafiri itabidi yeye aje siku hiyo hiyo anifuate kwa sababu ana hamu sana ya shoo. Wakati huo huo kwenye hiyo siku anayotaka tuonane...
7 Reactions
74 Replies
740 Views
Mimi ni kijana wa kitanzania na umri wangu ni miaka 33, na dini yangu ni Mkristo, Pia ningependa kuelezea mkasa huu ulionikuta ili kila mwenye kujifunza ajifunze kwani Jamii forums kuna wazee na...
42 Reactions
625 Replies
65K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…