PICHA ZA X (filamu za ngogo)

PICHA ZA X (filamu za ngogo)

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
WEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba huko, unambinua kama mcheza kungfu...
SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi.....
WEWE unaenda kwa msichana ambaye hana hata mazoezi unamtanua halafu unajifanya we unajuaaaa mapenzi, UJINGA mkubwa......
TENA kuna mwanamke anaitwa ANANIA NKYA yule mtetea haki za wanawake akikukta aisee unafungwa..haiwezekani umfanye msichana kama mdoli aisee....
ANAWEZA asikwambie kuwa anaumia lakini amini kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure..

NA NYIE wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache, yaani ukiguswa kidogo tu 'aaaaaah oooosh!!" shenzi kabisa hisia gani hizo unaguswa nywele unasisimuka, unaguswa kucha unapiga makelele.....

##ACHENI KUDANGANYIKA NA ZILE FILAMU ZA X##

Wee unatisha upo wapi ndugu yangu, Wanyama tu, wanafurukuta wakati wa ako ka mchezo sembuse binadamu, Mtazame Ng'ombe, kuku anakimbia mpaka basi, panya ndio usiseme kama wapo darini waweza sema dari inadondoka, Kobe lalalala binadamu cha mtoto. Mungu muumbaji anasiri kubwa sana wakati wa hii ishu. Wewe na mwenzi wako laleni kama mgomba muone mwisho wake nini? Acha ushamba nenda kwa wataalamu wa mapenzi na saikologia wakufundishe mapenzi nini na yanafanywaje?
 
WEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba huko, unambinua kama mcheza kungfu...
SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi.....
WEWE unaenda kwa msichana ambaye hana hata mazoezi unamtanua halafu unajifanya we unajuaaaa mapenzi, UJINGA mkubwa......
TENA kuna mwanamke anaitwa ANANIA NKYA yule mtetea haki za wanawake akikukta aisee unafungwa..haiwezekani umfanye msichana kama mdoli aisee....
ANAWEZA asikwambie kuwa anaumia lakini amini kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure..

NA NYIE wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache, yaani ukiguswa kidogo tu 'aaaaaah oooosh!!" shenzi kabisa hisia gani hizo unaguswa nywele unasisimuka, unaguswa kucha unapiga makelele.....

##ACHENI KUDANGANYIKA NA ZILE FILAMU ZA X##

Umeyajuaje haya kama wewe sio mpiga chabo hodari
 
na siku hizi biashara hii inashika kasi,ukiwa kwenye mataa jamaa wanauza kama njugu.Mara utasikia hii ya kibongo hii ya kenya
 
WEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba huko, unambinua kama mcheza kungfu...
SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi.....
WEWE unaenda kwa msichana ambaye hana hata mazoezi unamtanua halafu unajifanya we unajuaaaa mapenzi, UJINGA mkubwa......
TENA kuna mwanamke anaitwa ANANIA NKYA yule mtetea haki za wanawake akikukta aisee unafungwa..haiwezekani umfanye msichana kama mdoli aisee....
ANAWEZA asikwambie kuwa anaumia lakini amini kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure..

NA NYIE wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache, yaani ukiguswa kidogo tu 'aaaaaah oooosh!!" shenzi kabisa hisia gani hizo unaguswa nywele unasisimuka, unaguswa kucha unapiga makelele.....

##ACHENI KUDANGANYIKA NA ZILE FILAMU ZA X##

Mbaya kabisa ni kitendo cha watu kuchezeana kwenye sewage system aka tigo.
Ni mipicha hiyo hiyo inayowafanya watu wajaribu hata kuwala wapenzi wao nyuma!!!
mkuu hizi picha ni janga la taifa
 
wapo mbioni kutafsri kwa kiswahili km wanavyotafsiri hizi zingine!
 
Ahahahahaha
Hehehehehehe
Hihihihihihihihi
Nimecheka kwenye folen ya benk.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom