maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 958
Yule super Gademu,mburulaz ametoa hint kwa vijana wenzake jinsi ya kuwanasa le mitindizzz
1.Car
Hii inakamata nambari Moja, sababu inaact kama catalyst, inaspeed up other attachments to comply with ur intentions to that beautiful chick you want to hold on onto your life.
2.cash
hahah ah, Hapa ndo Main point hapa, Mapenzi bila hela sikuhizi ni sawa na Gari bila Matairi....Haya endi, Tusibishane katka hili, hta kama Demu wako hapendi pesa kiasi gani but lazima uwe namoney za kuhandle petty expenses... la sivyo unaumbuka mjini... hata hilo gari hapo juu halitakua na maanakama Cash iz a problem.
3.Clothes
Hahahahah hapa Bro naongelea Muonekano wako binafsi, ebu acha kupiga suluari zako za malinda sita zile na raba kama wakimbia marathon, Watoto wazuri bwana wanataka Gentlemen haswaa...mzee wa kutokelezea, hata kama huna pamba kali basi ulizonazo wazipangiliaje.... hapa nadhani wadau waukweli watajua nazungumzia vitu kama Hermes,
Pierre Cardin, Luis Vuitton, Tom Clanks, na chata ka hizo.... sio unatupia singlendi ya buku sh tano na hupigi bafu SAHAU MTOTO MZURI.
4.Communication
hAHAHA hApa sasa pana Tatizo bana.... unajua Communication nayoizungumzia hapa ni aina mbili..... Verbal communication na Physical Accessories Communication (communication device)..., Watoto Wazuri wa mjiniwanapenda
Kiingereza asikwambie mtu.... wanamiksi yaani... kiswahili kidooogo then Ngeli kwa saana..... yabidi ujipange aisee... hizi like uuuuh....mnh uknow... i kinda...uuuh... uwe vizuri mzeee la sivo utaishia kupata watoto wa tandale kwa Tumbo.... hiyo ya pili nazungumzia device sasa, Hapo jiulize unasimu ama unachombo cha mawasiliano? siku hizi wajanja tuna Apple, Samsung Galaxy, Htc, Huawei na vitu adimuka hizo...sasa we komaa na simu zako za tochi utajuta...mtot anataka akuone mainsta nini sana.
5.Confidence
Hapa watoto wengi wakishua wanapata shida......Confidence ni ability ya kuexpress ur feelings towards a girl looking at her eyes.... sasa kuna wajomba wanaona aibu mpka wanaume wenzao....sasa mtiti unakuja anapomit na mtoto mzuri hahahah,,.... kila kitu hapo juu anacho bt amelack confidence...Kalagha bao....
6.Chance
Chance bana ni ile unakua na mchizi wako ana demu mzuri... afu huyo demu anarafiki ake mzuriii pia...aaaaaah hapo c kamakumpa Christiano ronaldo na Laiton baines free kick..... it also sometimes mean the chances you have in your life
interms of eduction, employment e.tc......( 6C's)
# mengineOngezea
WIKEND NJEEEMAAA