Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bi mdada hapo kauliza swali ,kijasho kikawatoka mashost, Mi ni bikira na hamu tunapata vizuri, Ila tunaogopa mno anapojitokeza wa kutoa hamu, Hamu zetu hukatika ndotonii tu tukiota watu...
6 Reactions
97 Replies
9K Views
Kuna dada tunakuwa naye saloon, sasa ametuhabarisha ya ndani kwao, Kuna afisa jeshi mmoja anamtaka, amesekuwa anamtumia meseji usiku ,ila mme wake kaziona anaogopa kumkanya mke wake ameamua...
5 Reactions
136 Replies
10K Views
Ni kama kichwa kilivojielezeeni Nimepata mchumba anaishi Denmark , nauliza je maisha ya kule yakoje?? Maana tukifungs ndoa naondoka, Lakin mtihani mkubwa nilionao ni kwamba inabidi niufiche...
5 Reactions
114 Replies
7K Views
Anakuwa haraka anapendeza haraka na uzuri wake unaisha mapema. akifika 40 kwa ule aliyeringia masela ataacha maringo naanakuwa mzuri...
2 Reactions
23 Replies
263 Views
Ukiwa kwenye ndoa ukitaka kuwa na furaha lazima na mwenza wako awe na furaha lakini ukiwa pekeako unafurahia uhuru wako wewe unachagua nini? Ukioa uwezi kulala bila ruhusa ya mwenza wako lakini...
2 Reactions
5 Replies
127 Views
Wadau ukweli usemwe tu bila kificho Kijana unapoingia kwenye ndoa na single maza mwenye mtoto wa kiume tambua umeingia kwenye vita. Huyo mtoto uliyemkuta usije ukajifanya ni baba yake otherwise...
9 Reactions
22 Replies
401 Views
Aliandika Marry Diana Shikamoon wakubwa, wadogo zangu hamjambo. Siwezi kuwa mnafiki,ndoa ni moja ya nguzo ya lazima,na napenda sana niwe na mtu sahihi ambaye tutaheshimiana. Mapenzi ni kama...
12 Reactions
81 Replies
1K Views
kwenye nyumba unaweza kugungua haraka mwenye sauti ni mama Ikitokea mwanaume ni chuma basi yanaweza kutimia ya ule usemi mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja basi moja atahama na watoto...
6 Reactions
38 Replies
753 Views
Wadada 38 to 46 Wanakutana wadada wawili au watatu, marafiki wenye hulka zinazofanana. Wanatafuta kijana ambaye anasifika kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya mapenzi na kuhimili muda mrefu...
8 Reactions
59 Replies
1K Views
usisononek haup mwenyew ngoja upate ushuhuda kutok kwa wanajukwaa.kuumizwa kup nan hal ya maish haup mwenyew.
2 Reactions
59 Replies
400 Views
https://x.com/georgenjoroge_/status/2068291631980167265?t=EOl7LW_2sWQRw-8Wr9m2Kw&s=19
1 Reactions
0 Replies
92 Views
  • Redirect
Hivi karibuni kuachana kumeonekana kama fashion mpya. Kwa mwezi huu pekee tumesikia watu maarufu karibia mahusiano au ndoa 5 wameachana, na hata huku mtaani mahusiano yanavunjika kama vile kuna...
2 Reactions
Replies
Views
Hivi nyie mademu mnaozalishwa hovyo, mna matatizo ya kufikiri au mnaishi kwa kufuata mkumbo wa maisha? Inakuwaje unakuwa na umbo lako zuri, kuanzia miaka 16 hadi 23 unajigeuza kuwa sehemu ya...
24 Reactions
118 Replies
2K Views
Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge. Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at...
29 Reactions
243 Replies
12K Views
Sijawahi kujua wanaume wanao oa wanawake wengine na kuwaeka nyumba ndogo wanakua wanajua nini wanafanya au kitu gani? Maana hua wanawaweka mbali na makazi yao hasiria, na hapo hapo huko ambapo...
3 Reactions
27 Replies
453 Views
Kimsingi ipo hivi wakati wewe unapanga na kuchagua mambo unayotaka mungu nae anakuzoom anakuona dogo unayumba. Watu kibao walikuwa hawana muelekeo mzuri wa kimaisha lakini baada ya kuoa au kuwa...
3 Reactions
34 Replies
305 Views
Msaada wenu tafadhari, nina wapangaji wanne wa kike, kila mwisho wa mwezi ukifika wapangaji hawa huniambia nilale nao ili nisiwadai kodi, na mimi huwa sina hiyana huwa nawapiga kweli, sasa nawaza...
3 Reactions
15 Replies
260 Views
Napata kesi nyingi kwa vijana na malalamiko kuhusu mahusiano. Ni kweli kwa dunia ya sasa mtu akiniambia ana kwenda kuoa au kuolewa nawaza sana kama kubeti ukaweka GG. Tunapoteza pesa kuchangia...
7 Reactions
34 Replies
394 Views
VIJANA WAKIUME LAZIMA MJUE NDOA LAZIMA UZINGATIE MASLAHI YAKO YAKO KIUCHUMI. NDIVYO FAMILIA KUBWA ZINAVYOFANYA. SIO UNAJIOLEA OLEA HOVYOHOVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna dhana...
20 Reactions
111 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…