Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Happy Sabbath wanajamvi. Si rahisi kugundua ni Kwa kiwango gani unapendwa,ni ngumu mno,ila bahati mbaya wanaume Tunajikuta si wapembuzi wa mambo.mtu anajikuta anaingia kwenye mtego wa SUBIRA na...
13 Reactions
57 Replies
854 Views
Ni hivi, kwenye mahusiano ya kimapenzi kuna hali mbili kupendwa ama la. Mapenzi siyo kitu cha kudumu kama nyumba, hisia za mtu zinaweza kuwepo na kupotea. Ukiachana na mapenzi ya wanafamilia...
13 Reactions
199 Replies
2K Views
Shikamoni wote humu maana mi ndo last born wenu humu. Huu uzi alitakiwa auandike Binti wa zamani ila acha nijilipue; "My racing white darling uzuri wako hauelezeki. Tangu umekuja kwenye maisha...
7 Reactions
28 Replies
397 Views
Mambo ya kuitana switii, bebiii, asaliii...sitaki, najua mnavizia hiki kimshahara kangu. Mshahara ni wa kwangu, nimeupata baada ya kuchomwa na jua pamoja na kumaliza soli ya kiatu kwa kutembea...
5 Reactions
24 Replies
262 Views
Habari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye...
6 Reactions
92 Replies
1K Views
Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako. Nikakupenda kutokana na...
32 Reactions
91 Replies
2K Views
Asalam aleiko Moja kwa moja kwenye Mada Siku za hivi karibuni nimeanzisha harakati za kuzitandika mbususu ipasavyo na tena bila huruma. Sasa cha ajabu kati ya mbususu 10 ninazokutana nazo basi...
12 Reactions
83 Replies
2K Views
Ciao.! Tushakubali kuwa hamko romantic ila punguzeni usela kwenye mapenzi. Yan ukiwa na pisi ya kichaga inakuchanganya mpaka unashindwa kuelewa wewe ni mshikaji wake, kaka yake au mpenzi wake...
7 Reactions
21 Replies
393 Views
Nimeamua niwasanue vijana wenzangu tafuta wa umri wako hawa km zimesoma sana wasipokupiga na UKIMWI wanakupiga na homa ya in. Wa mama watu wazima kuanzia 40 wanapenda sana kugongwa
4 Reactions
30 Replies
514 Views
Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume. Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake. Mimi siku zote najua gym ni sehemu...
8 Reactions
27 Replies
554 Views
Niko mbali kidogo na kwangu ambako niseme nje ya Bara la Africa kabisa, Mke wangu kakwama sehemu akawa amemuomba msaada jamaa yake mmoja msaada bila kunihusisha, sasa lichojibiwa ndo...
5 Reactions
99 Replies
10K Views
Ipi kauli nyingine? Lakini hatufanyi kitu Tukutane sehemu iko wazi
1 Reactions
13 Replies
303 Views
Shikamoo wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Ukiona mke wako anakunyima unyumba na hana time na wewe ujue hana hisia na wewe. Mwanamke anayekupenda lazima akumiss na hasiti kukuomba akiwa na...
3 Reactions
18 Replies
357 Views
Wakuu poleni sana na majukumu,,..ama Kwa hakika kwenye hili jukwaa wapo wataalamu na wajuzi na wenye experience katika maswala ya mahusiano..Niende Moja Kwa Moja kwenye mada na kiufupi...
5 Reactions
9 Replies
262 Views
Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo ni rahisi kuwa maarufu kama Tanzania maana kwa uchunguzi wangu nadhani tanzania inaweza kuwa Top ya nchi ambazo wananchi wake wana feed taarifa nyingi sana...
5 Reactions
17 Replies
236 Views
Leo nimefika grocery moja hapa mtaani,kuna mtoto mmoja mgeni mzuuuuuriii..Sasa nimeagiza nyagi naona mtoto ananishobokea sana mixer kunikiss.. Yan nimeingia tu nakutana na bonge la...
3 Reactions
5 Replies
113 Views
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikiliona mara kwa mara hasa kwa watu wa kipato cha chini. Watu wengi hupenda kusema "usiamini mtu wa karibu, mbaya wako ni ndugu, rafiki au mtu wa karibu." Lakini...
1 Reactions
2 Replies
94 Views
Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile...
2 Reactions
15 Replies
272 Views
Baada ya jana kutua Bongo Leo Nimeenda saloon kunyoa, maandalizi si unajua tena, baadae naambiwa vua shati na vest tufanye scrub ya mgongo! Ha! sasa mimi nimekuja kunyoa nywele, hilo suala la...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…