Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yale mambo yetu yale. Yale ya Bwashee Geoff na dada yangu ambao wapwa na mabinamu wa JF tulifanikiwa kuweka mambo yao sawa. Nazungumzia kale ka get tugedha ka kuwapongeza. Jumapili ni kesho kutwa...
0 Reactions
107 Replies
10K Views
ni usiku mkubwa, ghafla nilishtushwa na ndoto mbaya kichwani mwangu, niligeuka kulia na kushoto kutafuta usingizi lakini kwa bahati mbaya nilishindwa. nilielekea jikoni kupata kikombe cha chai na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi utamjuaje mwanamke ambaye umeanzisha nae mahusiano kuwa ni taxi bubu?i mean ni prostitute wa siri? sasa hizi tips za kujua 1.weekend yuko bize. mwanamke akiwa ni taxi bubu,mara zote...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nilikuwa namtazama celina kombani kwenye tv akizungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa nikawa najiuliza is she married???? I mean wanawake wabunge na mawaziri ambao ni single au dirvoced,ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamii za leo jamani, Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu...
0 Reactions
188 Replies
18K Views
Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako "...
0 Reactions
101 Replies
10K Views
----Imekuwa kawaida watu wakiwa katika kipindi cha uchumba wanapenda kwenda outing kwa pamoja, utakuta mara nyingi haswa siku za weekend watu tunatoka out kujiburudisha/ kujiliwaza baada ya...
0 Reactions
160 Replies
15K Views
Nina ex-wife ambaye kwa mda mrefu mawasiliano yetu tunafanya kwa ajili ya mtoto wetu mpendwa ambaye anaishi nae yeye. Zaidi ya hapo akinipijia labda kwa shari tu ila hatuna mawasiliano zaidi ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi katika hii ishu ya mapenzi, mbona akina dada wanatumia zaidi Limbwata ili wapendwe(kuwapumbaza) zaidi na wanaume na sijawahi kusikia Limbwata kwa ajili ya wanaume kuwapumbaza wanawake. Na...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Defriending can bruise your 'digital ego' By Breeanna Hare, CNN October 30, 2009 9:11 a.m. EDT Have you been defriended on Facebook? Experts say our reaction to rejection online is similar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi huwa tunapata waume na wake zetu ambao kweli ni sehemu ya mbavu zetu na nyama zetu? Nauliza hivi kutokana na mikasa iliyopo kwenye ndoa kama vile kudundana/kupigana; kuvunjika kwa ndoa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
On choosing the perfect man "Cute's good, but cute only lasts for so long....and then it's who are you as a person? Don't look at the bank book or the title. Look at the heart and soul...When...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Jf tusaidiane katika hili,hivi inakuwaje unakuta mama anam-miminia mtoto wake matusi mazito mazito,bila kujali nani yuko hapo na anasikia hayo anayomwambia mtoto wake,mada ya jana ya Calnde...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JF kuna mbaba amefiwa na mwenzake some 2 years ago..ana watoto wakubwa age between 12-16 (three of them), wanamkataza huyo mbaba asioe...alipojaribu kuwa-introduce hiyo issue watoto hawataki...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Sampo za china hizo kwa dada zetu wanapokwenda kuongeza mahips basi wanaonyeshwa sampo za kuchagua kama zinavyoonekana hapo kwenye picha!
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Inatokea umeingia katika restaurant, club ama sehemu yeyote ya public na uko mwenyewe tu,ghafla anaingia binti mrembo/kijana mtanashati naye yupo single(hajaambatana na yeyote).Moyo unakulipuka,na...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Inapotokea umetokewa na kijana, mpole, mkarimu, mpenda dini na anakuambia direct kw alikw na mpenzi lakn hayupo tz na hataki kurudi tena, nayy umri wake una mruhusu kuoa sshivi kwaiyo anatafuta...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Mate debate: Is monogamy realistic? By A. Pawlowski, CNN October 28, 2009 1:36 p.m. EDT Actors Sienna Miller and Jude Law were engaged when he had an affair with a nanny who tended to one...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna article hii kutoka dailymail la Uk kuwa ukioa Mwanamke uliyepishana naye miaka zaidi ya 5 na kuendelea ndoa yenu itadumu. Je ni kweli kwa jamii yetu ??? Tuijadili Why it pays to have a...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
...hivi, inakuaje mtu anakubali kudhalilika na kunyanyasika kisa mapenzi.Ni kweli hawezi kula, kulala wala maisha bila huyo mtu? au ni false hopes kwamba atabadilika tabia? ...Unakuta...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…