kumbe taxi bubu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe taxi bubu..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Sep 21, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hivi utamjuaje mwanamke ambaye umeanzisha nae mahusiano kuwa
  ni taxi bubu?i mean ni prostitute wa siri? sasa hizi tips za kujua
  1.weekend yuko bize.
  mwanamke akiwa ni taxi bubu,mara zote utakuwa huonani nae siku za weekend jioni,atakupa sababu tele,mara kichen pati,mara msiba kwa shangazi n,k.
  2.yuko free sana jumatatu na jumanne
  siku za jumatatu na jumanne ndio siku ambazo sio za biashara kabisa
  kwa hiyo atakuwa free sana,utasdhangaa hakuna msiba wala kikao cha harusi,but ikianza jumatano mpaka jumapili she is busy.
  3.ana taxi zake maalum
  biashara ya ukahaba,wadau wake wakuu ni madereva taxi,huwa wanawapunguzia bei ma cd,na utaona kila kahaba ana taxi zake maalum,zinazomfata popote saa yeyote.
  4.begi lake liko full vifaaa.
  ni kweli wanawake wote hubeba mabegi na hutia vitu vingi ndani ya hayo mabegi,but makahaba mabegi yao huwa yanazidi urembo,na hayakosi nguo za kubadilisha,hii inawasaidia popote alipo anaweza kuanza safari bila kurudi home.
  5.anakutafuta usiku wa manane au alfajiri.
  siku biashara ikichacha utashangaa mtu kakuibukia mda mbaya ukimuuliza
  ulikuwa wapi atakupa owongo uliopangiliwa,mara harusi ilichelewa kuisha
  au katoroka msibani....au uwongo wowote mtamu.na tabia ya kukupigia simu usiku wa manane pia.
  6.anafahamiana na ma cd wengi
  ukimuuliza hao unafahamiana vipi,atakwambia nilisoma nao.au niliwahi kukaa nao mtaa mmoja au ndugu yake shemeji n.k
  7.kinondoni factor.
  kwa DAR kinondoni ni kama centre ya ma cd,so ukiona gf wako anaishi kinondoni au haishi huko but anakwambia ana rafiki au shangazi au ndugu huko na huwa anakwenda na kulala huko,watch out.
  8.hubadili simu mara kwa mara
  kwa kawaida ma cd huwa wanawaibia wateja vitu hasa simu,na huuziana wenyewe kwa wenyewe,simu kwao huwa kama asset hivi,ili mtu akiishiwa aiuze apate pesa,
  9.husafiri sana hasa weekends
  wapo watu huchukua ma cd na kwenda kustarehe nao z,bar au arusha au popote kule mbali na dar,pia ma cd huenda wenyewe hasa wanapojua
  kuna wageni eneo fulani labda kuna meli za mabaharia mombasa,
  10.unapokuwa nae out kuna tofauti
  mara nyingi kama mwanamke ni cd au taxi bubu,watu kama madereva taxi
  au ma bar maid na wahudumu wa guest na hoteli huwa wanawajua,utaweza gundua kuna tofauti ya treatment,as if wanamuonyesha dharau fulani ya kichichini.hawam heshimu kama mwanamke mwingne.
  11.ana namba nyingi za simu.
  hili linaeleweka nadhani
  12.hapendi kutembea mchana
  hili nalo linaeleweka nadhani.
  13.anajuana na wanamuziki wengi
  hii huwasaidia kuingia bure kwenye maonesho makubwa ya bendi mbalimbali.
  14.hujistukia
  utaona kwenye mazungumzo yake akiwaponda ma cd au kuwa wa kwanza
  kukueleza kuhusu rafiki yake ambaye ni cd ili kujilinda.au hupenda kusema
  "usifikiri mi changudoa"hata kama mazungumzo hayahusu.
  15.anajua ratiba ya weekend ya kumbi zote
  hili nalo linaeleweka nadhani...
  16.dodoma
  kila kikifika kipindi cha bunge karibu ma cd wote wa tz wanaenda dodoma
  so utagundua katika story zake aliwahi kwenda dodoma katika kipindi cha
  bunge,wakati pengine hana kazi inayohusiana na bunge.utasikia alimsindikiza shosti wake hivi au vile.
  17.hana wivu sana.
  hawana sana tabia za wivu wala kutazama simu yako.
  18.huongopa kuhusu kazi au masomo
  atasema aliwahi fanya kazi hotelini au anasomea kozi fulani,wengine kweli ni wanafunzi wa vyuo mbalimbali.
  19.hawapendi kulambwa bure
  hii ndhani inaeleweka,kwa kuwa hawezi kukuambia ni biashara,atakuwa kila mara anakutajia shida ya pesa kabla hujam nanihii,utajikuta kila ukim nanihii unampa pesa bila kujua.
  20.wazazi.
  mara nyingi ma cd huwa na watu ambao mara nyingi hujifanya ni ndugu zao au wazazi wao,mfano atakutambulisha labda kwa shangazi yake
  anaye kwambia ndio anaishi nae,but mara nyingi huwa ni watu tu ambao
  kawapanga,sanasana utakuta ni makahaba wazee waliostaafu.au madereva taxi wazee.


  mwisho ningependa kuonya kuwa unaweza kukuta msichana ana sifa zote hapo but still sio taxi bubu,sio kahaba.so carefull....
  na ukithibitisha ni taxi bubu please achana nae kwa ustaarabu
  au mshawishi aache kama unampenda,niseme tu hii ni biashara kubwa mno duniani,na hapa bongo wanawake wengi wanajishughulisha nayo kimya kimya,wengine wameshaolewa na vigogo,but walitokea huko.wengine wameshabadilisha fani nahuwezi jua ukiwaona now,wazungu wanaiita
  the oldest profession in the world....
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...duh, eh hehe...haya kaka.

  "...unapotumikia kifungo ni hiari yako (kupitisha masiku kwa...) kuchungulia tope ardhini, au kufurahia nyota zing'arazo angani!..."
   
 3. The Boss,

  Ulishawahi kuwa na taxi bubu nini? (Just Kidding)

  Its a good review... and helpful too.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  not really but naona watu wengi wanaopoa taxi bubu na hawajui...
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  yess?
   
 6. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mambo hayo!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  yapi tena?
   
Loading...