wanaume sometimez mnaboa nyie !!!!mkoje lakini teh teh

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana

huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1
 
Sasa tupe kaushauri basi tutambulisheje? Hawara, nyumbandogo, kibustani, kimeo au jina gani. Manake kama namegana naye, eventually ni shemeji yao. Period.
 
Yamekukuta nini? Usikasirike basi hivo shemeji ina maana nyingi ati
 
Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana

huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1

hehehehehehe!
inaongezaga konfidensi kwenye vikao vya pombe hiyo:D
 
Sasa tupe kaushauri basi tutambulisheje? Hawara, nyumbandogo, kibustani, kimeo au jina gani. Manake kama namegana naye, eventually ni shemeji yao. Period.
........inabidi aendelee kuwa shemeji!ila mimi nasapoti tu,sio mlevi wa hicho kinywaji:D
 
wanaungana mkono kwa sababu wote wanao hao mashemeji wa pembeni .......ndo unakuta hawawezi kupinga hiyo kitu.
 
Unajua hata kama akiondoka yule akaja hawara mwingine wataendelea kumwita na huyo mgeni shemeji hivi wewe utafrahia kama unamegwa nje uitwe hawara?
 
Na wanawake wanaboa sana yaani unajua mtu ameoa lakini unamkubali hadi inafikia anaamua kuktambulisha kwa rafiki zake eti huyu shemeji yenu wewe bado hautaki kukanusha....hehehe perfect way to get back.
 
Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana

huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1
Hiyo ndio njia nzuri ya kutambulisha, ukitambulisha kwa namna nyingine may be mtoto wa dada au mpwa rafiki zako hawachelewi kummega a.k.a kumla mwili. Kwa hiyo inabidi kuwa mkweli ili kupunguza risk ya kumegewa g/friend wako.
 
Sasa tupe kaushauri basi tutambulisheje? Hawara, nyumbandogo, kibustani, kimeo au jina gani. Manake kama namegana naye, eventually ni shemeji yao. Period.

chrispin sio nikupe jina uache tabia hii mala moja kama unayo sio nzuri kabisa
wewe unajisikia una wife na bado unamwambia friend huyo ndo G/F teh teh teh :)
 
who told you?
labda mwanamke alokubuhu na ushakumpe ndo anaweza fanya hivi
Tunawaona mtaani, kwa sababu tunaishi nao na hao serengeti boys ni ndugu na rafiki zetu, sometimes wanatuambia wenyewe! Let me ask you, mwanamke alokubuhu na ushakumpe yukoje?
 
huyo anakuwa hana soni hata kidogo ..
wanawake ni wenye staa tofauti na wanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom