Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,575
- 552
----Imekuwa kawaida watu wakiwa katika kipindi cha uchumba wanapenda kwenda outing kwa pamoja, utakuta mara nyingi haswa siku za weekend watu tunatoka out kujiburudisha/ kujiliwaza baada ya uchovu wa kazi na majukumu ya week nzima. Mnaweza kwenda kuhang out clubs, bar,beach, pub au restaurant.Inategemea sehemu gani mnayopendelea.
Hawa wachumba baada ya kuwa wanandoa, haswa kwa wanaume utakuta ni wachache wanaoambatana na wake zao au family zao kwenda outing. Hapa bongo siku za weekend bar nyingi zinajaa wanaume, na hawa wanaume ni watu ambao wanandoa zao.
Swali langu ni hili, je wewe mwanaume inakuwaje unamuacha mkeo nyumbani na kwenda bar peke yako?
Na wewe mwanamke inakuwaje ukubali mumeo aende bar peke yake na wakati ilikuwa kawaida yenu kwenda pamoja kipindi cha uchumba?
Haya wanajamii tujadili hapa, najua wapo wanandoa humu wanaoenda out haswa bar na kuwaacha wake/waume nyumbani.