A boy was born to a couple after eleven years of marriage.
They were a loving couple and the boy was the apple of their eyes.
When the boy was around two years old, one morning the...
Habarini wanajamii wote. Ni chemistry gani inawafanya wapenzi wawili wadoo kwa muda mrefu bila kuchoka?. Wanaweza kuspend hata siku nzima bila kuchoka. Ni juzeni tafadhali.
Fatulia mazungumzo haya ya mme na mke wakiwa kitandani baada ya kutoka kwenye party. Niliyoyanasa wakati napiga chabo
HUSBAND: Who was that man were u dancing with?
WIFE: A friend of ziglers...
Kuna jamaa yangu mtaani analalama kuwa mke wake anapenda sana tamthilia zinazoonyeshwa kwenye TV. Shida inakuwa jamaa anapenda kulala mida ya saa nne, lakini unakuta mke anakuja kulala saa tano na...
Wakuu kuna hii tabia ya kinadada ya kupaka sijui inaitwa lipshine mwenzenu nikiiona nachanganyikiwa hata akiwa anaongea sisikii kitu mi macho yangu yote jinsi midomo inavyofunguka,sasa sijui ni...
Ni rafiki yetu wa familia. Tulifahamiana tangu high school. Amekua na mahusiano na msichana mmoja ambae baadae alikuja kugundua kua anatoka na baba paroko.amejengewa nyumba pia
Wakiwa chuo kikuu...
Mmmmmh kwa hili nimechoka
kuna watu waniibia serikali kweli lakini na awa ndugu zetu wanaotuhudumia lazima nao
waijali kidogo serikali....nimeomba kama mko karibu nao waambieni nao wawe wanatoa...
Kuna siku moja nilimuomba honey wangu angalau tuhamishie "game" kwenye kakochi ketu chumbani. Lengo ni kujaribu kutafuta radha kutoka kiwanja tofauti na kile tulichozoea kila siku "kitanda chetu"...
Wapwa na mabinamu
hili limenijia kichwani nikaona bora tulijadili kwa pamoja hasa wale waliopo wkenye mahusiano ya kindoa/GF/BF.
Ni hivi, kwanza wengine wanakuwa na matarajio ya juu mno dhidi ya...
Unajua hapa kunakuwa na watu wanakuwa na maneno matamu kwenye chat zao kiasi cha kutamani kama ningepata wasaa nae...!
Lakini sasa sitamani tena
Juzi nilienda kwenye ofisi ya secretary mmoja...
Imethibitishwa kuwa, wanawake walio wengi wana viwiko vyeusi.
Weusi au usugu huo unatokana na wao kupendelea au kulazimishwa kutumia kwa muda mrefu staili moja ya kifo cha mende.
Utafiti huo...
Nina umri wa miaka 37 na nimeoana na mke wangu huyu miaka mitani iliyopita na tumejaaliwa mtoto mmoja wa miaka mimme na nusu sasa.
Maisha yetu kiuchumi na kimahusiano ni mazuri...kama kuna...
Nikiwa nimetulia pahala napata 'urithi wetu'...:A S-coffee:!! kaingia braza mmoja kapaki mkoko, akakaa meza ya jirani kaanza kuagiza kinywaji!! muda mfupi kaungana na kundi la watu watau akiwemo...
Hivi Wajomba na mashangazi, ma-braza na masiteri namba niwaulizage....?!!
Hivi, kwa zama zetu hizi za leo na utandagiza huu, wangapi wanaweza rudi kijijini kwenda kusaka demu au mvulana ambae...
John na Sauda wamekuwa marafiki machoni kwa wanajamii kwa muda mrefu. Lakini hivi karibuni wamekuwa na ugomvi usiyo na maelezo. John alikuwa akishirikiana na Sauda kwenye biashara zao na hata...
Wakuu naomba kuleta kwenu.
Kutokana na siasa za tanzania unavyozijua kampeni umesikia nyingi!Lakini leo ni siku ya Vijana Duniani,
Je katika kampeni za wana siasa wetu ulisha wahi kusikia mgombe...
Ukijaribu kuwauliza baadhi ya wale wa "enzi za mwalimu" watakuambia siku zile akina mama zenu wengi hawakuwa na kazi na hata kama aliandika mfanyakazi wa ndani yeye alilijitahidi kila kitu...