Kama mwana jamii!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Wakuu naomba kuleta kwenu.
Kutokana na siasa za tanzania unavyozijua kampeni umesikia nyingi!Lakini leo ni siku ya Vijana Duniani,
Je katika kampeni za wana siasa wetu ulisha wahi kusikia mgombe akitaje eneo la vijana wa mtaani??
Je nini mawazo kuhusu vijana wataani??na
Je ulitaka serikali inayoingia madarakani ifanye nini kuondoa tatizo lavijana wamitaani??
Je unafikiri tunajenga Tabaka gani lakuwaacha hawa vijana wakirandaranda pale Moroko,Bibiti,nakwingineko??
Je unadhani wanawaza nini wakiona mmejifungia katika ma VX na Maprado wakati wao hawajui baadae itakuwaje??wakiwa wanasafisha vioo vya magari yenu wakiomba 100!!
Je ulisha wahi kuwafikiria??
Je wewe unadhani wanajitakia??
Je unadhani mashirika yasiyo yakiserikali,mashule,makanisa yalioanzishwa kwa marengo ya kusaidia vijana wamitaani yanatimiza lengo au yajinufaisha yenyewe??
Je wizara husika inawajibika kwa vijana hawa??
Je Nini kifanyike kama sikuondoa tupunguze??
:help:
 
hivi hili ni jukwaa gani Kaka Kiiza???:help:
thanks anyway!!

:nono:As long umeelewa sina wasiwasi na hilo lajukwaa kwani mwisho wasiku zote zinarudi katika newpost!!hupo??naunasoma labda kama umeathirika na jukwaa kana kwamba hauanzii kwenye newpost!:welcome:and:focus:
 
jukwaa lina busara sana hili... kaamua kutangaza nia zake humu... mods plz!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom