u knw whn ur young is nice to have a bday party ... sweet 16, then 18, 21st is the best bday coz ur able to do almost every thing . so i was just wondering how old is to old to have a bday...
Mimi nimekuwa na mpenzi wangu takribani mwaka na miezi mitatu sasa kwakusema ukweli ninahisi kumchoka yeye ndokwanza kumekucha sasa kumuacha kiolela na muonea huruma!!Na nilisha onywa nisiweke...
UKISHANGAA ya Musa, utayaona ya Firauni, hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mkazi wa Kata ya Mwembesongo katika Manispaa ya Morogoro , Sultan Juma ( 25) kudaiwa kukutwa akifanya ngono na mbwa...
:crying:weekend hii niliamua kuzungukia viwanja mbalimbali kwa ajili yakuona yanayojiri mjini hapa lakini katika mambo yaliyonivuta ni jinsi watu niliwaona wametoka vijana ambao hawajaoa au ambao...
Nomba tuwe waungwana na huku mtupie mambo mbona jukwaa la uchaguzi tanzania ndo story?Naogopa kuweka sled yangu kwakuwa yaweza isipate mchango nanisisaidiwe!!:sad:
http:/http://www.youtube.com/v/SiJBVEHX148?version=3/www.youtube.com/v/SiJBVEHX148?version=3"><param
Baada ya shughuli zoooote za uchaguzi na michoko yote naomba nikupe zawadi hii MR usikilize...
Wakuu wa jukwaa la mahusiano, jamii na mapenzi...
Naomba niseme kwamba bila hili jukwaa, JF ingekua ngumu sana kwa kweli; kila tulipokua tunapata stress kuhusu mustakabali wa nchi yetu... hili...
Yule Gavana wa Bank anayeshutumiwa kubanjuka na First Lady wa Zimbabwe (Grace Mugabe almaarufu kama Dis-grace Mugabe) sasa ameingia mafichoni akihofia usalama wa maisha yake!
Inadaiwa kwamba...
Mahitaji yake!
Kama ni mwanandoa ambaye unataka kuwa na ndoa yenye furaha, inaweza kuwa ndiyo kwanza unaanza maisha ya ndoa, au unaweza kuwa upo kwenye ndoa kwa muda mrefu na ndoa ipo hali...
Tukiendelea kusubiria serikali mpya chini ya uongozi mpya si vibaya tukapunguzia stress humu. Kuna wanaume ambao wakiachwa na mwanamke, haijalishi ni mke/demu wa mtu/best, wao lazima watupe neno...
Ikiwa mke wako wa ndoa anayefanya kazi inayofanana na yako anatoka saa kumi na mbili asubuhi kuelekea kazini na kurudi mara saa tatu, saa nne, saa tano na wakati mwingine saa saba za usiku na hana...
WAPENDWA SANA,
taarifa mbaya kabisa ni kwamba yule mmoja wa wahanga wa ajali aliyekuwa hoi sana AMEFARIKI DUNIA.
sasa kwakuwa maskini_jeuri ndiye alikuwa dereva wa ile gari,ana ya kuendesha gari...
Kuna mmke anaiba mme wa mtu na kamganda mwenye mme kwa urafiki wa kinafiki kiasi kwamba mwenye mke kamuamini mno mpaka inatia huzuni,na hawa wote ni WATZ hivi rohoni unajisikiaje kwa ushetani...
Naelekea AR kwa rikizo ya one week, ningependa nifikie kwa msichana yeyote aliyoko single wa JF. safari yangu itakuwa poa sana nitaishi naye kwake huku tukijadiri mambo mengi na ni mara ya kwanza...
Nimeitumia sana na mpenzi wangu na imenisaidia sana kuzuia mimba na kupata mtoto mmoja kiume na wa pili wa kike kama tulivyoplan na shemeji yenu na inanisaidia sana kwa nyota ya kijani kuliko...
MSN UK News/PA, 25/10/2010 14:07
Woman set to marry herself
An office worker in Taiwan is to tie the knot with herself.
PA Photo
Chen Wei-yih, 30, blames social pressure for the decision.
She...
Mie nimepata shetani wa kuolewa ghafla baada ya kuishi mda mrefu bila mwanamme wala mpenzi. Kitu ambacho kilinifanya nishi peke yangu nilikuwa naogopa ukimwi. Na vile vile nilikuwa naogopa ugomvi...