Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Somoe, Oct 29, 2010.

 1. Somoe

  Somoe JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 757
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Mie nimepata shetani wa kuolewa ghafla baada ya kuishi mda mrefu bila mwanamme wala mpenzi. Kitu ambacho kilinifanya nishi peke yangu nilikuwa naogopa ukimwi. Na vile vile nilikuwa naogopa ugomvi kwaiyo nilikuwa nahofia mwanamme ataanza kunidanganya na kunikera mambo flani, alafu itakuwa ugomvi. Mama angu akinisema na kulalamika kwanini siolewi ikiwa vijana wengi wakijitokeza. Na marafiki wakinisema mie mjinga nazikataa bahati. Wasemayo mie sikuyajari.

  Sasa mwaka 2007 nilikutana na vijana 3 ktk chat nilio wapenda. Ila mmoja kati yao nilimpenda zaidi, maongezi yake yalikuwa yananipa amani. Nilijiskia huyu ndie atakae nifaa, kuzaa nae, kuolewa nae na kuishi nae, ila sikumwambia kama nampenda,, nilikaa kimya. Yote ilikuwa siri yangu.

  Mie na yule jamaa tulikuwa tunawasiliana vizuri na tunaongea mengi juu ya familia zetu, marafiki zetu, shule na maisha kiujumla kukiongea. Na tulikuwa tunaheshimiana kiasi cha kwamba tulikuwa hatuongei juu ya mapenzi.

  Niliambiwa mengi vingine hata sikustairi kuvijua, nikajiuliza kwanini ananiamini kuniambia yote kuhusu yeye wakati hanijui,,,

  Baada ya miaka 2 kupita, mwaka 2009 akanibadilikia, akawa mkali kama pilipili, hatuelewani, mie sababu hata sikuijua, yaani alikuwa na masira. Nikamuomba anieleze kilichomtokea, mwisho akaniambia alikuwa na mawasiliano na mwanamke na hivi sasa kampotea hata akimpigia simu hapokei, na akimuandikia email hajibu. Mie nikamuliza unampenda, akajibu ndio tena kwa maasira. Mie nikakaa kimya na nikaamua kumtafutia huyo binti kwa vile kaniambia haishi mbali nami ingawa simjui. Ili yeye alidhike na ugomvi kati yetu uishe. Kwa bahati mbaya huyo binti sikumpata, ila niliskia story zake ambazo yeye sikumwambia maana angeniona mie muongo kwa vile yeye mwenyewe kampenda.


  Nikaachana nae, kumbe yeye anapenda mwingine badala yangu. Baada ya miezi 3 moyo wangu ukaniuma, nikamsalimia. Akalalamika kusema hamna mtu yeyote anae mkumbuka, hata wazazi wake wamemtupa, hivi hana mtu,, mie nikajiwa na uruma nikajiona ni mtu mbaya. Hapo nikajikuta namwambia kabisa kama nampenda na namkumbuka na nitakuwa nae daima. Ila ilibidi nijue juu ya yule dada, akaniambia uhusiano wao wote ulivo kuwa. Yakaisha.

  Mwisho tukamua tukutane, na tuoane. Tulipo kutana, akataka tuoane haraka haraka, akasema anaona kama hatanikosa, na hivi aamini kama itakuwa kweli. Na akasema alikuwa anataka mwanamke kama mimi, na aliponiona hakuamini macho yake. Na anaona kama ndoto, na kama mungu alisikia kilio chake.

  Sasa swali langu limebaki je akikutana na yule binti chizi ktk chat aliesema anampenda, itakuwaje? Sababu kuna siku moja namnyoja mume wangu ***CENSORED*** yake, akaniambia aliaidiwa na yule binti ktk chat kumyonya nyonya ***CENSORED*** , na mpaka ***CENSORED***. Basi mie nachanganyikiwa anaponiambia juu ya huyo binti. Na utokea ghafla ana naniambia hivo nilivomfanyia aliaidiwa na hata na yule binti wa ktk chat. Mie sasa nikaanza kuwa mkali, sababu ya wivu, lakini sasa naona kama namuonea. Yaani hata sijui nifanyeje?

  Maana nimeangalia simu yake hamna mwanamke, nimeangalia facebook hamna, na yeye hana wasiwasi kabisa, ananiachia na ananiambia yote. Na tulivo enda kwa wazazi wake nikamwambia anioneshe hao wasichana ambao akifanya nao mapenzi, akanionesha. Na akaniambia mpaka wakivo fanya, nilipo muuliza.

  Kuna siku moja nikalalamika eti alikuwa nami ktk chat na vile vile na mwengine na alificha, ila alipo mkimbia ndo mie akaniambia. Akasema yeye hana tamaa ya wanawake, ila mimi tu na wasiwasi. Hilo ni kweli ila mengine alizidisha maana alikuwa ananipenda na aliona kama nampenda pia, ila muda aliona unapita, ndio maana akaanza visa vya kuninasa mie mtegoni mwake.

  Na ananiambia mengine aliokuwa anasema ni kunipa mie wivu tu. Sasa sijui niamini?

  Hapa naitaji mjuzi ili anielekeze vizuri maisha ya ndoa, maana mie nimejingiza tu, na sasa najikuta nawivu sana, hadi mwenyewe naumia, ingawa simbwambi. Mie nitashukuru sana mukinielewesha......
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu dada nipe Break hapa nitatoa advice baada ya uchaguzi ni ndefu ,maneno mengine yanachekesha sana mengine ulitakiwa kutumia tafsida katika hili jukwaa mweh mweh ..:wave:
  sweetheart wewe una miaka mingapi mwaya!?
   
 3. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kwanza huo mchezo wa kunyonyana kwenye nanihii kawaambia nani ??? Mtapata magonjwa shauri yenu.

  Kwa ushauri wangu mimi naona wewe umeshampenda huyo dogo . Kinachofuata ni kufunga nae ndoa tu. Hayo makhirikhiri mengine hayana msingi. Nyie fungeni ndoa tu basi !!!
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  bestlady baada ya uchaguzi lol?
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha ndio bestlady naona ameweka maneno magumu hapa ubaoni bila kuweka tafsida kuanzia Jtano naweza kumshauli maisha ya ndoa anayoyaogopa .wakati alishaanza kucheza michezo ya baba na mama...
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  tunashare the same problem, hahahaaaah, nikamatie kwenye inbox yangu.
   
 7. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Somoe huyambo mwanakwechu? naona mtoto wa kigunya umekuwa fundi wa kula koni ya nyama nilipofika hiyo area mate yalinidondoka na uteute mwembamba mweupe ulinitoka maana nilijenga kama senema hivi.............
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Amekula bila kunawa eeeh...
  Bidada kweli akusubiri ummegee uzoefu wako j5....inshallah
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Duh!!!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hebu toa comment zako kwanza bana maana mimi hapa:doh::doh::doh: na nikifikiria na uchaguzi ndio kabisaa:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Lile jiwe ulilolipanga kwenye kituo cha kupigia kura kwa ajili ya kuwahi foleni umeangalia kama bado lipo usije ukakuta limetolewa
   
 12. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kajitu kachafu kabisa haka!!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  :doh::doh::doh::doh::doh::tape::tape::tape::tape::tape:
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Sasa bi dada ushauri gani tena unautaka na wewe tayari upo kwenye ndoa na mumeo!?
   
 15. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahah! mi sina hamu, kama kawa I am busy with milions of tanzanians who don't get their breakfast for the last five years, tafadhali subiri baada ya uchaguzi, Au umetumwa utuhamishe mawazo harafu ccm wachakachue kwa sana?
   
 16. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kama mshaoana basi haina haja ya kuuliza mwali. wewe ishi utapata uzoefu humo humo
  Kama hujaolewa basi nakusihi mtumie Pm Aspirin atakupa ushauri mwema pasina shaka
   
 17. k

  kisukari JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  jamani mapenzi haya,yaani unanyonya mlango wa uani,wa mwanamume,mwisho utaambiwa udumbukize kitu
   
 18. S

  Samoo Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du huu si mchezo haya mambo dadangu si ya haraka kwani yanaweza kukusababishia mateso hata kifo,but let discussss after the ELECTION lakini jaribu kutafakari background yako kimahusiano na watu waliokuzunguka na wanaokuzunguka ili tuanzie hapo af tutaendelea
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  nitaenda kuliangalia saa 12 asubuhi kesho me nimechoka na huu mdahalo hapo itv mkwe leo wapi weekend ?
   
 20. Somoe

  Somoe JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 757
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  SAMOO. sijakuelewa vizuri. mateso hata kifo? watu walio nizunguka siwambi yote ya mapenzi juu yangu. Wao wamefurahi tu nimeolewa. Na vile vile nimekubalika kwa wakwe zangu. Wananipenda sana tu, na hata mume wangu kabubalika kwetu. Na unamaanisha nini kusema hayataki haraka? sasa sijui nijielezeje ili nishauriwe.... naona unazidi kunitisha sasa
   
Loading...