Kuna msichana yeyote wa JF Arusha?

Celebrity

Member
Jan 7, 2010
66
1
Naelekea AR kwa rikizo ya one week, ningependa nifikie kwa msichana yeyote aliyoko single wa JF. safari yangu itakuwa poa sana nitaishi naye kwake huku tukijadiri mambo mengi na ni mara ya kwanza mimi kufika Ar. Tutaanzisha thread pamoja kwa furaha.
sipendi nifikie kwa mwenye famiria au mume sababu ziko wazi wamaume tuna wivu sana. Nasubili majibu yenu vimwana wa AR.
 
nipo karibu.....sana
naishi kambi ya fisi mbele kidogo ya matejoo
 
nipo karibu.....sana
naishi kambi ya fisi mbele kidogo ya matejoo
Mtapigana vikumbo huko na Lily Flower na Preta

Afu Hiri rimjamaa rinaweza kuwa riafande mura............
 
Naelekea AR kwa rikizo ya one week, ningependa nifikie kwa msichana yeyote aliyoko single wa JF. safari yangu itakuwa poa sana nitaishi naye kwake huku tukijadiri mambo mengi na ni mara ya kwanza mimi kufika Ar. Tutaanzisha thread pamoja kwa furaha.
sipendi nifikie kwa mwenye famiria au mume sababu ziko wazi wamaume tuna wivu sana. Nasubili majibu yenu vimwana wa AR.

kumbe matumizi ya R na L bado ni magumu hadi leo??
Mungu atusaidie.
 
Nyivonduma sir
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Jan 2010
Posts: 38
Thanks: 13
Thanked 5 Times in 5 Posts

Mwanzo mzuri sana huu. Kijana ongeza juhudi!
 
mmh mwanzo upi mzuri?
na juhudi ndo ziko wapi za kuongezea?
 
inavoonekana wewe ni mwanaume,kwanini unataka msichana single :eek:ukae kwake au upokelewe tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom