Mnyika oyeee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika oyeee

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Brandon, Nov 2, 2010.

 1. B

  Brandon JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  At last katangazw. Nilishindwa hata kula kwa kudhani watayachakachua.

  God is great all the time. Congs bro.

  Viva pipoz power
   
 2. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mnyika kushinda kupitia upinzani ni fundisho kwa chama tawala. Chama tawala kijifunze kuwa hii nchi sio ya CCM tu. Inabidi rushwa ipingwe kwa juhudi zote na wanaokamatwa kwa rushwa wachukuliwe sheria stahili, na sio kulindana.
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mh! Hili ni Jukwaa na Malavi Davi lakini au ndiyo Mambo ya Kumdondokea?
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  HAHAHAH NDEGE YA UCHUMI WEE ACHA TU HII NI FURAHA NDEREMO NA VIFICHO NDO MAAANA WATU WANABANDIKA MABANDIKO POPOTE:hippie:
   
Loading...