Huwa mnajisikiaje?

MUSINGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,071
1,252
Kuna mmke anaiba mme wa mtu na kamganda mwenye mme kwa urafiki wa kinafiki kiasi kwamba mwenye mke kamuamini mno mpaka inatia huzuni,na hawa wote ni WATZ hivi rohoni unajisikiaje kwa ushetani huu,umepora mpaka haki ya msingi ya mtu kufurahia mume kutimiza miaka 50 kwa kumrubuni huyu mbaba kwa vipesa na kwenda nae bongo.
 
apo nani anajiskia nin?
wote wawili uyo aliyeibwa na aliyeiba wana makosa
km upo tyt na mkeo kuna delila yeyote anaweza kukurubun?
uyo mbababa ndo ana matatizo yan badala atulie na mkewe ye anagawa nje tu .....kuna wanawake wengine wamezaliwa specially kwa kudate na waume za watu sasa akimpata km uyu anayeweza kumwendesha km tineja basi anafurahia sana
yan ukizubaa ata mipango ya hm kwako atakuwa anakupangia afu wewe unaenda hm kwako kifua mbele wife nimeona tuchinje bata jogoo tumuuze njiwa tuwapeperushe mende tuwafuge ...sasa apo ole wake mke ainue mdomo ...jaman mume wangu lakin...wewe moto utakavyowaka apo...........!!!!!! hatari
ebu tulien na ndoa zenu uko alllllllahhhh!!!!!!!!
 
hahahahaha
 
ivi huo ujasiri nitaupata wapi? yani namchukulia mmewe tena nakuwa rafiki yake!? :nono::nono::nono:kweli watu tumeumbwa na sura zisizi na haya jamni!
 
huwezi amini na kila mahali wako wote sijawahi ona hii kitu,kweli kuna watu wakavu jamani
 
Huyo anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu ni taahira au?
angekuwa taahira usingeona hii mada hapa mtu na akili zae ila sijui ni kupenda sifa au mteremko hata havieleweki huyu baba na si mtoto,na huyu mama katumwa na serikali hapa kama........ wa TZ
 
nyinyi waume wa leo mmemkosea nini shetan?mbona anawaandamana sana?afu effect zake mnawaliza wake zenu?
ebu mshwwwwwwwwwwwwwwwwwinde na mlegee ebu fungen zipu zenu
roho wa bwana awaongoze jaman
mmh jaman...
 
ukikubali kufungulia panya buku, mende, vicheche nyumbani kwako bila kuwathibiti na wewe ndo kichwa cha familia unategemeaje lazima wakuendeshe unafikiri wana haya hawa wakati shida yao chakula
ivi huo ujasiri nitaupata wapi? yani namchukulia mmewe tena nakuwa rafiki yake!? :nono::nono::nono:kweli watu tumeumbwa na sura zisizi na haya jamni!
 
huwezi amini na kila mahali wako wote sijawahi ona hii kitu,kweli kuna watu wakavu jamani
dah! hapo demu anamchora mwenzie tu! atakapojua mwenye mmewe itabidi wahalalishe tu awe mke mwenzie
 
Kuna watu wengine sijui kwa nini wanaishi kwa unafiki:bowl:

mie huwa ckubaligi kauli ya watu kusema"kaibiwa/naibiwa mume"..kwani huyu mnaemwita mwizi alikukuta nae road akakukwapua huyu mume wako na kukimbia nae? wote watu wazima wanafanya vitendo kwa maamuzi yao...
 
ukikubali kufungulia panya buku, mende, vicheche nyumbani kwako bila kuwathibiti na wewe ndo kichwa cha familia unategemeaje lazima wakuendeshe unafikiri wana haya hawa wakati shida yao chakula
halafu ninachokiona hapo pia mme anamdharau sana mkewe, vinginevyo asingekubali small house wake awe karibu na mkewe kabisa.
 
dah! hapo demu anamchora mwenzie tu! atakapojua mwenye mmewe itabidi wahalalishe tu awe mke mwenzie

Dah!! Once you discover such stuff the reaction ndio maana kuna matukio mengine ya ajabu unayasikia
 
Back
Top Bottom