Jukwaa hili limekimbiwa walaih

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nomba tuwe waungwana na huku mtupie mambo mbona jukwaa la uchaguzi tanzania ndo story?Naogopa kuweka sled yangu kwakuwa yaweza isipate mchango nanisisaidiwe!!:sad:
 
mmm am telling u, washkaji wote wamezama kwenye siasa...mambo ya malavi davi mpaka baaada ya kuapishwa Slaa sijui...hongereni kwa kupiga kura kwa amani.. :)
 
Jukwaa hili wenye matatizo ya Mapenzi na mahusiano wasubiri kwanza tumalize jambo hili lililoko mbele yetu ni la muhimu sana na linatokea mara moja baada ya 5 years wakati kwenye malovee watu wanapendana kila siku ,wanaachana kila siku ..wanafanya ma infiii kila siku , Sawa kakakiiza

Tuko pamoja kama samaki na maji
 
Kama YESU alivyowauliza wale watu wawili walikuwa wakienda kijiji cha EMAU huku wakiongelea tukio la kufufuka kwake kwamba "Wewe ni mgeni katika nchi hii". Sasa hivi kila mtu mwenye mapenzi mema na nchii mawazo yake yoote yapo kwenye maswala yanayohusu uchaguzi tu. Subiri uchaguzi upite ulete hiyo mada yako
 
Jukwaa hili wenye matatizo ya Mapenzi na mahusiano wasubiri kwanza tumalize jambo hili lililoko mbele yetu ni la muhimu sana na linatokea mara moja baada ya 5 years wakati kwenye malovee watu wanapendana kila siku ,wanaachana kila siku ..wanafanya ma infiii kila siku , Sawa kakakiiza

Tuko pamoja kama samaki na maji
Jamani hata mainfii yanaliwaza ukiukoza udiwani au ubunge kama siyo urais
 
Bado tupo lakini si unajua hekaheka za Uchaguzi Mkuu Tanzania? Nadhani mara baada ya kuapishwa kwa Rais wa Tz, ndipo watarejea tena kwa kishindo kwenye jukwaa hili. Na katika hali jukwaa hili huongoza kwa kuwa na watazamaji/wachangiaji wengi. Ukitaka kujua hilo subiri aapishwe Rais, Wabunge na Waziri Mkuu.
 
Nomba tuwe waungwana na huku mtupie mambo mbona jukwaa la uchaguzi tanzania ndo story?Naogopa kuweka sled yangu kwakuwa yaweza isipate mchango nanisisaidiwe!!:sad:

...ilete tu kaka, mimi mmoja wapo nisiosoma hayo matokeo yasiyo rasmi.
Zama hizi za sayansi na 'tekelinalokujia', wasemaji wa tume ya Uchaguzi bila kutuwekea hesabu za kura wamekuwa weeeeeeengi, anayejiskia kuanzisha thread naye anakurupuka na matokeo, Ukiwauliza source au verifications hakuna! aaaarggghhh!
Boring 'politikz' as usual...

Lete issues!
 
Jukwaa hili wenye matatizo ya Mapenzi na mahusiano wasubiri kwanza tumalize jambo hili lililoko mbele yetu ni la muhimu sana na linatokea mara moja baada ya 5 years wakati kwenye malovee watu wanapendana kila siku ,wanaachana kila siku ..wanafanya ma infiii kila siku , Sawa kakakiiza

Tuko pamoja kama samaki na maji
pamoja kama ccm na ufisadi mazee
 
Nomba tuwe waungwana na huku mtupie mambo mbona jukwaa la uchaguzi tanzania ndo story?Naogopa kuweka sled yangu kwakuwa yaweza isipate mchango nanisisaidiwe!!:sad:
Priority............ na vile vile ujwe kusoma alama za nyakati...........DO RIGHT THING AT RIGHT TIME
 
Subiri kwanza tumalize kuhesabu kura na baada ya Rais kuapishwa then tutarudi kwa sasa tutakuwa tunakuja kwa kubeep
 
Uchaguzi umeharibu mambo, sijui lile jukwaa la wakubwa hali ikoje.
 
Ha ha ha haaa, haya jamani tusiwe wageni wa nchiiiii hiii, tukutane baada ya kumpata raisi. Kidogo kidogo, tusizame sana kwenye siasa
 
Back
Top Bottom