Aliyebanjua Mke wa Mugabe kaingia mitini!

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Yule Gavana wa Bank anayeshutumiwa kubanjuka na First Lady wa Zimbabwe (Grace Mugabe almaarufu kama Dis-grace Mugabe) sasa ameingia mafichoni akihofia usalama wa maisha yake!

Inadaiwa kwamba anaogopa baadhi ya mashushushu wanaojipendekeza kwa mzee Mugabe wanaweza kummaliza hata kabla mzee hajatoa amri, wakiamini kwamba kitendo kile kitamfurahisha mzee Mugabe!

Cha mtu mavi!

Kwa habari zaidi gonga hapa: Gono in hiding over affair with Grace Mugabe*|*ZimDaily
 
hehehe
hivi mnategemea babu kama mugabe aweze kumfikisha dem wake??? lazima asaidiwe na wenye risasi kupiga gobole au la atasababisha wengi waende hiding
 
Pole sana mzee Mugabe! Huyo Gavana naye ana akili za mbayuwayu ...
 
Yule Gavana wa Bank anayeshutumiwa kubanjuka na First Lady wa Zimbabwe (Grace Mugabe almaarufu kama Dis-grace Mugabe) sasa ameingia mafichoni akihofia usalama wa maisha yake!

Inadaiwa kwamba anaogopa baadhi ya mashushushu wanaojipendekeza kwa mzee Mugabe wanaweza kummaliza hata kabla mzee hajatoa amri, wakiamini kwamba kitendo kile kitamfurahisha mzee Mugabe!

Cha mtu mavi!

Kwa habari zaidi gonga hapa: Gono in hiding over affair with Grace Mugabe*|*ZimDaily

mke wa mtu ni sumuuu usijaribu chombezaaa yatakujaya kukuteee usiyoya tegemeaaaa:music:
 
Hii haiwezekani aisee kwa sababu wanawake ni waaminifu mno. Wanamsingizia tu grace wa watu
 
ISHU KAMA HIZO WALA HAUINGII MTINI UNAM-FACE MZEE MUGABE MAN TO MAN:smile-big:
 
kweli mke wa mtu sumu ambayo mwenye kuila hafi.
Ila kwa ishu ya mugabe ambaye hata akisimama au kulala haishi kutetemeka na kuyumbayumba sidhani akama anaweza kupanga mashambulizi ya mafanikio

ASPIRIN yu wapi kutoa pongezi kwa infidelitee gavana
 
Tuliishatuma kadi ya mwaliko kwa Gavana na Grace wao wazimbabwe wanamuita DIS-GRACE
 
first lady wetu kazurura alone kwa muda mrefu saana...! I WONT BE SURPRISED NIKISIKIA NAE KALIWA....!!!

au nchi hii hakuna MAMBA kama kwa mswati..??? :tape::tape:
 
Wacheni Mugabe wamsaidie hajiwezi kwa umri wake, hata hao watoto yawezekana si wake
 
Ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga!Mugabe naye alipola mke!!alivyoamua kukimbia ni jambo zuri ili kunusuru maisha yake maana Mugabe haaminiki hata kidogo!!!
 
Back
Top Bottom